Franky
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 2,271
- 2,871
Haya mambo kuachika kirahisi haiwezekani. Ngoja niende barMimi nilikaza wiki 3 nimerudi kwenye game
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo kuachika kirahisi haiwezekani. Ngoja niende barMimi nilikaza wiki 3 nimerudi kwenye game
mimi bado na wala sitamani kurudia pombe tenaMimi nilikaza wiki 3 nimerudi kwenye game
Ilikufanya nini mdau?mimi bado na wala sitamani kurudia pombe tena
Kama umeacha sasa unataka sisi tukusaidieje? Hiyo ni personal issue.kwa akili zangu timamu nimeamua rasmi kuacha pombe
Akili zako sio timamu wewekwa akili zangu timamu nimeamua rasmi kuacha pombe
mkuu kwa kiwango nilichokuwa nimefikia naweza sema wiki mbili bila kunywa tena nashinda na kampani ya pombe, zipo muda wote sinywii hii kwangu ni hatua kubwa
nimedhamiri kuacha kabisa
Hongera mkuu hata mimi karibu mwezi sasa umepita nimeacha rasmi huku nikijiandaa mchakato wa kuoa maana pombe zimenichosha unaamka asubuh mwili hauelewek
Nilikua mnywaji sana tu na mara ya mwisho kubwia mibia ni 1 December 2018 tangu hapo nikanyoosha mikono now Mimi na maji na soda baridiiiiiii, vishawishi ni pale napokaa na kampan yangu ya ulevi huku nikishusha maji yangu makubwa baridi wao wakibwia bia huku hawaamini wakionacho, wengine wakifika mbali na kurusha shutuma kwa mamsapu kua kaniloga nisinywe tena pombe... Halafu shetani alivyo wa ajabu yaaan sasa hivi ndio idadi ya kufuru za wanywaji zimezidi na miofa yao ila kila mara nawaambia hela ya kunywa bia ninayo ila nimebadili mfumo wa maisha, sinywi pombe na wala sinunulii mtu pombe
Sent using Jamii Forums mobile app
asante sana mkuu
naamini nitafanikiwa