Tulio single, tujuzane changamoto tunazokutana nazo

Kuna sababu nyingi za kua single,( tuachane na sababu)
Kwa upande wangu hua kujifeel lonely sana mpaka nataman nipata namba ya dada yoyote nimpigie ata animalizie dk kadhaa, kupoteza mudi ya. Kufanya kazi nk.

Inahotaji kujitolea sana
upweke ndio changamoto yetu kuu, mimi huwa ikifika usiku nakuwa mpweke
 
tapatalk_1569081644038.jpeg
 
Kuna sababu nyingi za kua single,( tuachane na sababu)
Kwa upande wangu hua kujifeel lonely sana mpaka nataman nipata namba ya dada yoyote nimpigie ata animalizie dk kadhaa, kupoteza mudi ya. Kufanya kazi nk.

Inahotaji kujitolea sana
Unakuwaje single hadi unajutia hivyo!?

Raha ya kuwa single ni freedom ya kutosha, Yaani unakuwa na connection kila sehemu. Yaani unakuwa na contacts kama 3 za kueleweka na kila service unapata. Bado mpya za ziada.

Yaani ukihitaji kupikiwa fasta anakuja, kupiga show anakuja. Wewe ndiye unakuwa designer wa service fulani unayohitaji.

Kwenye kikao kijacho nitatoa miongozo michache.
 
Kuna sababu nyingi za kua single,( tuachane na sababu)
Kwa upande wangu hua kujifeel lonely sana mpaka nataman nipata namba ya dada yoyote nimpigie ata animalizie dk kadhaa, kupoteza mudi ya. Kufanya kazi nk.

Inahotaji kujitolea sana
Mkuu mimi nimechoka kufuta meza vumb na boksa/soksi aisee
 
Back
Top Bottom