Starboywiz
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 867
- 1,457
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kua single kusikie tu kwa mwenzio. Unaweza kujiambia " baby ulale salama, usisahau kushusha net"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kua single kusikie tu kwa mwenzio. Unaweza kujiambia " baby ulale salama, usisahau kushusha net"
hcho n chumba cha jiko[emoji28][emoji28]
Kuwa single ni ufala ~~~ in mzee wa upako voice.
Mwanaume unakaa na ungo ndani? Wakati mie mtoto wa kike sina ungo na sifikirii kununua[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alizitafuta akatepeliwa na member flani humu[emoji2]
We ni kama mie, sijahalalisha tu.Wengine kuoa Tu ndo hatujaoa lakini wanawake tunao
Utaskia,,,baharia hamiliki ungo 🤣Mwanaume unakaa na ungo ndani? Wakati mie mtoto wa kike sina ungo na sifikirii kununua[emoji23]
Mziki unaanziaga hapaView attachment 1206693
Na wewe upo single eti...Kwa wanawake hatupati shida kupika, basi tu sometimes upweke dah. Ona sasa tangu saa 9 nilikosa usingizi Niko zangu Jf namuwaza mtu Fulani J dah!
wewe unamoyo mpaka kufikia stage hii, naona kuna kaji nyanya apoMziki unaanziaga hapaView attachment 1206693
Hizo njiti za kiberiti zinaonyesha hujafagia geto siku ya nne leo[emoji1][emoji1][emoji1].Mziki unaanziaga hapaView attachment 1206693
mkuu anaishi jikoniHuo wavu kwenye jiko ni wa kuzuia panya wasiingie na kujificha/kuzaliana chini ya jiko?
Yaani hujui kazi ya ungo au hujui kutumia ungo? Kutumia ungo kuna raha yake, nikimuona mwanamke anapepeta kwa ungo hujisikia raha sana, huamini huyo ndiye mwanamke haswa.Mwanaume unakaa na ungo ndani? Wakati mie mtoto wa kike sina ungo na sifikirii kununua[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa bwanaYaani hujui kazi ya ungo au hujui kutumia ungo? Kutumia ungo kuna raha yake, nikimuona mwanamke anapepeta kwa ungo hujisikia raha sana, huamini huyo ndiye mwanamke haswa.
Vv
Kweli kabisa anakuaje single na chura zilivyonyingi hivi[emoji3]Haiwezekani
Hivi kuna mwanaume ambae hapitii hii changamoto kweli?!!! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dah hii changamoto ilinitesa sana kipindi nipo single