Wewemwenyewe
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 283
- 311
mi kupika vyombo ndo huwa vichosha...naweza kupika masaaa mawili,nikala dakika 10 afu vyombo vikakaa siku saba
Huyo mimi kabisa
mi kupika vyombo ndo huwa vichosha...naweza kupika masaaa mawili,nikala dakika 10 afu vyombo vikakaa siku saba
Mziki unaanziaga hapaView attachment 1206693
HahahahahaMziki unaanziaga hapaView attachment 1206693
Kwa bachela chumba na jiko havina tofauti mkuuHapa ni jikoni au chumbani [emoji3][emoji3][emoji3]
Khantwe hii ndio mnaita nini? Ukiamka mali zako zote unazionaMziki unaanziaga hapaView attachment 1206693
Acha uchochezi wewe mtotoAlizitafuta akatepeliwa na member flani humu[emoji2]
Halafu wanasema eti JF kila mtu anajidai ana ghorofa, kumbe tunaoishi stoo tuko kibaoHahaha stoo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hivi humu ni mimi peke yangu ndio nakaa stoo eti, naomba unigawie vyumba viwili nyumbani kwako
Acha matusi pacha, unakaa stoo weweHalafu wanasema eti JF kila mtu anajidai ana ghorofa, kumbe tunaoishi stoo tuko kibao
Tupo wengi tunaokaa stoo usihofu![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hivi humu ni mimi peke yangu ndio nakaa stoo eti, naomba unigawie vyumba viwili nyumbani kwako
Yeap nakaa stoo kama weweAcha matusi pacha, unakaa stoo wewe
Tupo wengi tunaokaa stoo usihofu!
KwendaaaYeap nakaa stoo kama wewe
kwakua sijapataUnakuwaje single kwamfano[emoji136]
hahahaaa na yuve beeMimi changamoto kubwa ni kujipiga mabao usiku!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Dogo uko vizuri, una tv jikoni!
Tutafaidisha wasohusika mkuuOngea hapa hapa
Nikiona neno Mchungaji nahisi kama nimeona neno Jambazi au FisadiNa upweke uuwiii, kuna saa unatoka kwenye mihangaiko and you wish hata mtu akupigie simu akwambie pole na hakuna, mchungaji wangu kaniambia J.Lee tafuta binti aliyemaliza darasa la saba ukae nae usikae peke ako mwanangu....nikacheka tu
Pole, kwa nini unasema hivyo mkuu??Nikiona neno Mchungaji nahisi kama nimeona neno Jambazi au Fisadi