kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,351
- 12,704
Hiyo ni dalili ya ukoloni mkuu. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwanaume unakaa na ungo ndani? Wakati mie mtoto wa kike sina ungo na sifikirii kununua[emoji23]
Hiyo ni dalili ya ukoloni mkuu. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwanaume unakaa na ungo ndani? Wakati mie mtoto wa kike sina ungo na sifikirii kununua[emoji23]
ThanksA simple Answer " Soon"
Shemeji yenu hajambo yu mzima wa afya.
MAISHA MEPESI HAYA HAYAHITAJI HASIRA.
I love you ladyKwa wanawake hatupati shida kupika, basi tu sometimes upweke dah. Ona sasa tangu saa 9 nilikosa usingizi Niko zangu Jf namuwaza mtu Fulani J dah!
Hii sijui huwa imekaaje[emoji3][emoji3].kwenye kupika tu ndo kunanishinda.
Mimi uwa nakula chakula hoteli moja Tu.
Ikitokea pale chakula kimeisha au nimechelewa basi nitalala na njaa .
Mimi ili kuepuka kuosha vyombo ni heri nisipike.[emoji3][emoji3]Tatizo sio kupika
Ila kuosha vyombo
Mkuu hapo ulipo maji yanasumbua
chief hapo ni store au geto la raia wa single nation ? kwan mtu ukiwa single ndio mavitu yanakaaga hovyo hovyo namna hiyo ? chief acha kujilemaza UBOY panga geto fresh hata manzi akiingia lzm asaule kwanza kyupi ...ss ilo geto lilivyo ukiingiza demu humo llazima kwanza augue MAFUA
Mwanaume unakaa na ungo ndani? Wakati mie mtoto wa kike sina ungo na sifikirii kununua[emoji23]
Mimi ili kuepuka kuosha vyombo ni heri nisipike.[emoji3][emoji3]
mmh, sidhan kama na ww uko singleChangamoto ni kuimalizia wkend jf
Nipo na single na nakaribia kutoa albummmh, sidhan kama na ww uko single
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo ni dalili ya ukoloni mkuu. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]