Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 2,901
- 3,248
A simple Answer " Soon"Kila siku tunaulizwa
Unaoa lini mara wengine wifi hajambo ?
Shemeji yenu hajambo yu mzima wa afya.
MAISHA MEPESI HAYA HAYAHITAJI HASIRA.
A simple Answer " Soon"Kila siku tunaulizwa
Unaoa lini mara wengine wifi hajambo ?
dah hii changamoto ilinitesa sana kipindi nipo singleMimi changamoto kubwa ni kujipiga mabao usiku!
Tyu ndiyo Nini?Mmh! me msomaji tyu!
Nakupa Sasha Banks au Bayley ukishindwa mchukue Nikki KrosMimi changamoto kubwa ni kujipiga mabao usiku!
Huo wavu kwenye jiko ni wa kuzuia panya wasiingie na kujificha/kuzaliana chini ya jiko?Mziki unaanziaga hapaView attachment 1206693
Watu wana magheto machafu aseeeh....Mziki unaanziaga hapaView attachment 1206693
chief hapo ni store au geto la raia wa single nation ? kwan mtu ukiwa single ndio mavitu yanakaaga hovyo hovyo namna hiyo ? chief acha kujilemaza UBOY panga geto fresh hata manzi akiingia lzm asaule kwanza kyupi ...ss ilo geto lilivyo ukiingiza demu humo llazima kwanza augue MAFUAMziki unaanziaga hapaView attachment 1206693
Tafuta HELA mkuu.Mziki unaanziaga hapaView attachment 1206693
Tafuta HELA mkuu.
Tafuta sana HELA kwa bidii.
Tafuta SANA pesa.
hcho n chumba cha jikoHapa ni jikoni au chumbani
Afu mshkaji huko aliko ukute yuko anakata mauno usiku kucha.Kwa wanawake hatupati shida kupika, basi tu sometimes upweke dah. Ona sasa tangu saa 9 nilikosa usingizi Niko zangu Jf namuwaza mtu Fulani J dah!
Mkuu,, Hiyo miguu ni yako?!! Samahani lakiniKwa wanawake hatupati shida kupika, basi tu sometimes upweke dah. Ona sasa tangu saa 9 nilikosa usingizi Niko zangu Jf namuwaza mtu Fulani J dah!
Hii inaumiza kweli aseekwenye kupika tu ndo kunanishinda.
Mimi uwa nakula chakula hoteli moja Tu.
Ikitokea pale chakula kimeisha au nimechelewa basi nitalala na njaa .