JWANY DA KING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 201
- 184
Kuosha vyombo hasa sufuria lilipikiwa ugali ni changamoto kubwa xn kwangu!!Kuna sababu nyingi za kuwa single.
Kwa upande wangu huwa najisikia mpweke sana mpaka natamani nipate namba ya dada yoyote nimpigie hata animalizie dk kadhaa. Pia hupoteza hamu ya kufanya kazi n.k.
Inahitaji kujitolea sana kuwa single
Sent using Jamii Forums mobile app