Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,977
- 127,423
Sawa bwanaYeap nakaa stoo kama wewe
Sawa bwanaYeap nakaa stoo kama wewe
Kuna mchungaji mmoja amenishawishi nijiunge na biashara za pyramid scheme kisa yeye ni member wa hiyo kitu. Halafu anasisitiza kwamba hiyo kitu ni real. Nikamwambia hapo hapo "real my foot"Pole, kwa nini unasema hivyo mkuu??
Ndyo inaanza kuota rafiki, isubiri subiri ikue kubwa [emoji12] if you won't mind![emoji3]
Hahahaaa pole, wachungaji pia ni wanadamu my dear sio malaika ndio maana maandiko yanasema zijaribuni rohoKuna mchungaji mmoja amenishawishi nijiunge na biashara za pyramid scheme kisa yeye ni member wa hiyo kitu. Halafu anasisitiza kwamba hiyo kitu ni real. Nikamwambia hapo hapo "real my foot"
kilichonisikitisha ni ile style yake ya kuhamasisha unaweza kusema umekutana mwanaccm mtaaniHahahaaa pole, wachungaji pia ni wanadamu my dear sio malaika ndio maana maandiko yanasema zijaribuni roho
Watanzania wengi wanaishi StooMziki unaanziaga hapaView attachment 1206693
Hapo mara kidishi mwaa kweye Tv
Hahahaaaa pole sana,kilichonisikitisha ni ile style yake ya kuhamasisha unaweza kusema umekutana mwanaccm mtaani
Nishapoa mkuu. Ila baadhi ya wachungaji wanazingua sanaHahahaaaa pole sana,
Kupika ni changamoto kubwa mara nyingi nalalia bites tuu.Kuna sababu nyingi za kua single,( tuachane na sababu)
Kwa upande wangu hua kujifeel lonely sana mpaka nataman nipata namba ya dada yoyote nimpigie ata animalizie dk kadhaa, kupoteza mudi ya. Kufanya kazi nk.
Inahotaji kujitolea sana
Ni kweli si wote wanamuwakilisha Mungu, lakini tuwaombee maana nao ni wadhaifu kama sisi tuNishapoa mkuu. Ila baadhi ya wachungaji wanazingua sana
[emoji3] [emoji3] ,on my way pal![emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] Njoo mama nakusubiri
Bila shaka hiki ni chumba kimoja
[emoji3] [emoji3] ,on my way pal!
Changamoto yangu ni kwenye kula naweza kupika moid yote ikakata. Bora nimwite hata jirani anipe kampan ya kula
Nimekuta boonge la padlock, nikaamua kugeuza byee[emoji3] [emoji3]Nakusubiri [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Nimekuta boonge la padlock, nikaamua kugeuza byee[emoji3] [emoji3]