Wanaobisha hawajawai kufanya biasharaNimeshangaa sana kuona watu wanabeza mtaji wa 500k-1ml kuleta faida ya 300k-500k kwa mwezi.
Maana yake ni kwamba unalaza kuanzia 10k hadi 17k kwa siku.
Labda walielewa hiyo faida ya 500k unaipata kwa siku.
Nadhani ni hawakumwelewa jamaa, hata kama hukawahi kufanya biashara ndiyo upinge kwa biashara ya 1m kulaza 17000 kwa siku! Au biashara ya 500k kulaza 10k kwa siku!Wanaobisha hawajawai kufanya biashara
Hahahaha kwani huo mpira ancheza KILA SAA mazoezi anafanya KILA SAA na HUYO musk NAYE kwani muda WOTE anawaza BIASHARA TU SI Kuna muda anatoka KWENDA kula Bata ALAF musk anapenda starehe HUYO JAMAA ACHA TU mkuu mara ufukweni mara wapi. Hitimisho akili binafsi na MUNGU kwishaaaaaaMuda mwingi anautumia kufanya mazoezi na kucheza mpira tofauti na mask ambae muda mwingi anawaza kutanua biashara na makampuni yake
Kitu unachokipa muda zaidi ndio kinachokupa matokeo kama na hapa hujaelewa basiHahahaha kwani huo mpira ancheza KILA SAA mazoezi anafanya KILA SAA na HUYO musk NAYE kwani muda WOTE anawaza BIASHARA TU SI Kuna muda anatoka KWENDA kula Bata ALAF musk anapenda starehe HUYO JAMAA ACHA TU mkuu mara ufukweni mara wapi. Hitimisho akili binafsi na MUNGU kwishaaaaaa
Kwishaaaaa
Bro Alex on la beats yoow...... Jah iz really
Take home ni pesa anayobakiwa nayo mwajiriwa ukishatoa tax, pssf,NHIF, na michango mingine kulingana na kada yake.Yes iyo ni nje ya matumizi japo kwa kujibana sana
Hivi tukichukulia mshahara wa take home 500k hapo ni ndani au nje ya matumizi
Biashara ni ngumu kukimbizana na Kodi ya frem na TRA lakini naweza kusema ukipambana Ina unafuuTake home ni pesa anayobakiwa nayo mwajiriwa ukishatoa tax, pssf,NHIF, na michango mingine kulingana na kada yake.
mweny take home ya 500k it means basic salary inaweza kuwa 650-700k
Hiyo 500k ndo hela yake ya matumizi, saving & kila tu...
Hiyo manake ni net profit, faida yako unayobakiwa nayo ukitoa kodi na expenses zote.Biashara ni ngumu kukimbizana na Kodi ya frem na TRA lakini naweza kusema ukipambana Ina unafuu
Mimi nikisema nimepata 500k kwa mwezi hapo nimetoa kila kitu kula na matumizi mengine japo wakati mwingine upepo unabadirika ila sijawahi shuka 300k kwa mwezi sasa sijui hiyo nitaitaaje saving au take home
Ni kweli, japo sijawahi kuwa na uwezo wa kusave faida ninayoipata hii nikiweza nitakuwa tajiri soonHiyo manake ni net profit, faida yako unayobakiwa nayo ukitoa kodi na expenses zote.
So hiyo unawez save au ukaendelea kuweka kweny mzunguko wa bishara whatever but ni faida kamili
Usisave weka yote kweny mzunguko wa biashara yako kukuza faida, ukisave utapoteza time tu.Ni kweli, japo sijawahi kuwa na uwezo wa kusave faida ninayoipata hii nikiweza nitakuwa tajiri soon
Kuna miezi niliamua niwe nafanya kama unavyosema ndani ya miezi sita nilikuwa na rundo la hela(kwa level yangu) nikafikiria nifungue kitengo kingine lakini nikifikiria mfanyakazi nitakae muweka nikaona nitapoteza tu na nikijaza duka mauzo almost ni yaleyale kwanini nisiende nunua tofali na kuita mafundi hahahaha hadi sasa pesa nimezipanda ardhiniUsisave weka yote kweny mzunguko wa biashara yako kukuza faida, ukisave utapoteza time tu.
Kazi gani iyo wanalipwa mshahara Million 5Biashara ni bora kwa biashara yenye faida chini kidogo au sawa na mshahara. Ila kuacha kazi ya mshahara wa mil 5 halafu ufanye biashara ya faida ya laki tano kwa mwezi huo ni ukichaa. Ndani ya miaka 10 mwenye mshahara atakuwa mbali sana kuanzia saving ,kujenga n.k na NSSF itasoma 120M ambayo ikichukuliwa utajenga lodge mbili huku wa biashara ndani ya huo muda ndio kwanza atakuwa anaingiza M3 kwa mwezi na kuona biashara yake imekua sana.
Sio kila biashara ni bora kuliko ajira.Ni maoni ya mimi muajiriwa kutoka halmashauri ya Kakonko.
Duh, kwamba huamini kuna ajira mtu analamba M5?Kazi gani iyo wanalipwa mshahara Million 5
Watanzania wanaolipwa mshahara wa milion 5 kwa mwezi ni asilimia ngapiBiashara ni bora kwa biashara yenye faida chini kidogo au sawa na mshahara. Ila kuacha kazi ya mshahara wa mil 5 halafu ufanye biashara ya faida ya laki tano kwa mwezi huo ni ukichaa. Ndani ya miaka 10 mwenye mshahara atakuwa mbali sana kuanzia saving ,kujenga n.k na NSSF itasoma 120M ambayo ikichukuliwa utajenga lodge mbili huku wa biashara ndani ya huo muda ndio kwanza atakuwa anaingiza M3 kwa mwezi na kuona biashara yake imekua sana.
Sio kila biashara ni bora kuliko ajira.Ni maoni ya mimi muajiriwa kutoka halmashauri ya Kakonko.