Tulinganishe biashara na ajira hapa

Tulinganishe biashara na ajira hapa

Fanya service based business(SBB)

waajiriwa wengi wanafanikiwa zaidi kwny biashara ya kutoa huduma kuliko ya kuuza bidhaa..
Mifano ya SBB
1)ride sharing services ie bolt,Uber,Kama una usafiri wako you can try this after working hours.
2) courier-unaweza kuwa courier wa Amazon au alibaba.
3)Education services -anzisha shule ya nursery,weka matron na mwalimu,mhasibu ww mwenyewe,uko mbeleni ukiwa na mapafu unaanzisha primary school kabisa.

Ongezea na hii idea
4)vending machine-kuna VM za soft drinks,Kuna za snacks,kuna za maziwa,huku mtaani kwetu kuna hadi vending machine ya maji ya kunywa,uwanja ni mpana..mchawi location.

Hizi ni baadhi ya ideas ambazo hazihitaji Sana uwepo wako ,unachohitaji ni upfront cost then after,u keep on downloading money.

Vending machine inafanania hv

View attachment 3419479
Vending machine ya maji
View attachment 3419480
Kinaweza kuwa na Bei Gani?
 
Mie ni graduate wa kada flan hiv, (degree) nilipiga hesabu siku moja ile pesa ambayo ningekuwa nalipwa kwa mwaka mzima, huku kwenye biashara huwaga napata ndani ya miezi 3-4, kipindi cha misimu ya biashara. Kuna misimu miwili. Nishaachaga na ku apply. Wateja wangu watumishi wanakujaga wanaongea kwa nyodo nawachora tu 😀😀
Watumishi wengi kwa mwaka wanaingiza chini ya mil9 kama take home hivyo wewe kama hiyo waipata kwa miezi mitatu means kwa mwaka si chini ya mil30 wafanya biashara gani mkuu yenye capital ya shngapi kwa estimation
 
Mie ni graduate wa kada flan hiv, (degree) nilipiga hesabu siku moja ile pesa ambayo ningekuwa nalipwa kwa mwaka mzima, huku kwenye biashara huwaga napata ndani ya miezi 3-4, kipindi cha misimu ya biashara. Kuna misimu miwili. Nishaachaga na ku apply. Wateja wangu watumishi wanakujaga wanaongea kwa nyodo nawachora tu 😀😀
Unafany Mishe gn mkuu
 
Vending machine zinapatikana kwny platform ya Alibaba.
Bei yake inategemea na aina ya vending,Kuna vending ya maziwa inauzwa 7.5M,Kuna snack vending inauzwa kati ya 3M-2M,Kuna za maji zina range 4M-1.5M,unaweza kuingia kwny website yao.
Habari mkuu nimekucheki pm kulee naona kimya
 
Jama i kuajiriwa raha nyie...nipo hapa nasa nakula.mshahara wa dollar laki 7 kwa mwaka kuwashushia tuu hesabu za bwana eistein.

Ila uajiriwe na mzungu au mjapan. Hizi kabila zingine ni shida tuu
 
Jama i kuajiriwa raha nyie...nipo hapa nasa nakula.mshahara wa dollar laki 7 kwa mwaka kuwashushia tuu hesabu za bwana eistein.

Ila uajiriwe na mzungu au mjapan. Hizi kabila zingine ni shida tuu
Tunapataje kazi kwa mzungu au mjapani
 
Back
Top Bottom