Tulinganishe biashara na ajira hapa

Tulinganishe biashara na ajira hapa

Inadepend ni biashara gani piah na ajira umeajiriwa sehemu gan au kitengo gan kama waliopo tbs au tira hao labda wafanyabiashara wakubwa ndio wa kulinganisha nao
 
Fanya service based business(SBB)

waajiriwa wengi wanafanikiwa zaidi kwny biashara ya kutoa huduma kuliko ya kuuza bidhaa..
Mifano ya SBB
1)ride sharing services ie bolt,Uber,Kama una usafiri wako you can try this after working hours.
2) courier-unaweza kuwa courier wa Amazon au alibaba.
3)Education services -anzisha shule ya nursery,weka matron na mwalimu,mhasibu ww mwenyewe,uko mbeleni ukiwa na mapafu unaanzisha primary school kabisa.

Ongezea na hii idea
4)vending machine-kuna VM za soft drinks,Kuna za snacks,kuna za maziwa,huku mtaani kwetu kuna hadi vending machine ya maji ya kunywa,uwanja ni mpana..mchawi location.

Hizi ni baadhi ya ideas ambazo hazihitaji Sana uwepo wako ,unachohitaji ni upfront cost then after,u keep on downloading money.

Vending machine inafanania hv

View attachment 3419479
Vending machine ya maji
View attachment 3419480
Vending machine izo ni shngp na zinappatikan wp
 
Nimefanya biashara miaka mitatu sijawah pata faida zaidi ya laki tatu 😂😂 kwahyo nikipata ajira serikal narukanayo uku nikiendelea na biashara cz najua ajira inanifeva upande wa afya ya familia
 
M5 mbona ndogo mm kuna sehm nilikuwa nafanya kaz ila company ni ya mmarekani..MD alikuwa analipwa mil 20 so mtu kulipwa m5 kawaida sana hasa hawa heads of dept kawaida mbona bado allowances
Kwamfano huyo anaelipwa m20 unaweza kumfananisha na mfanyabiashara wa level gani hapa nchini
 
Back
Top Bottom