Tulifika Dar saa 9 usiku kutoka Zanzibar, kitu cha ajabu tukaambiwa kushuka ni saa 12 asubuhi

Kama alikuwa anawahi jambo asubuhi sana na amepata hiyo fursa ya saa tatu aiache aende akalale?

Issue hapa shughuli nyingi haziendi kisa tunafanya kazi masaa 12, inabidi tubadilike tuwe kama maaskari au hospitali.

Ni zamu kwa zamu hakuna kulala.
Kwanini alichelewA?
Then anaita watu maskini huku ye ni kiongozi wa Maskini.
 
We mwenyewe maskini,
umechelewa, ukapanda boti la usiku.
Umeshindwa nini kulala Hotel uondoke kesho?
Ndege hazipo kwanza?
We ni Maskini kuliko hata hao unaita Maskini
Daah ndugu yangu upo chaka gani kupanda Boat ni umasikini au kusafiri usiku aisee yaani Nchi inatumia 14 billion kuwahesabu ninyi si bora wangewakadiria tu kwa mawazo haya?
 
Wanaweza kukuambia hatuna wafanyakazi wa kufanya check in/out mpaka saa 12 asubuhi, ni dalili ya umaskini wa akili hakuna zaidi, kwa wenzetu mfano Bank za kimarekani ukiwa ndani ya Bank unasubiri huduma na imetokea muda wa kufunga umefika, security watafunga milango yote ya kuingilia ndani wataacha wa kutoka tuu, mtahudumiwa mliokuwa ndani mpaka wamemaliza wote au wakiona foleni zinakuwa kubwa ujue mpaka meneja atatoka ofisini kuja kuhudumia wateja, ikishindikana kabisa wako wakulipe au wakupe huduma bure kesho yake, niliwahi kulipwa dollar 800 kwa sababu ndege ilikuwa imejaa wakauliza yeyote ambaye yuko tayari kuachia sit mpaka next flight tunakupa 300$ hawakupata mtu mpaka walipopandisha 800$ mchizi nikanyoosha mkono:D
CRDB waliwahi kufunga mlango tukabaki mimi na wahudumu tu na muda ulikuwa umeshaisha. Walicheza na tatizo langu hadi likaisha. Akaunti ilikuwa inakubali kutoa pesa tawi moja tu tena kuna mhudumu ndio alikuwa anaipatia.
 
Wanaweza kukuambia hatuna wafanyakazi wa kufanya check in/out mpaka saa 12 asubuhi, ni dalili ya umaskini wa akili hakuna zaidi, kwa wenzetu mfano Bank za kimarekani ukiwa ndani ya Bank unasubiri huduma na imetokea muda wa kufunga umefika, security watafunga milango yote ya kuingilia ndani wataacha wa kutoka tuu, mtahudumiwa mliokuwa ndani mpaka wamemaliza wote au wakiona foleni zinakuwa kubwa ujue mpaka meneja atatoka ofisini kuja kuhudumia wateja, ikishindikana kabisa wako wakulipe au wakupe huduma bure kesho yake, niliwahi kulipwa dollar 800 kwa sababu ndege ilikuwa imejaa wakauliza yeyote ambaye yuko tayari kuachia sit mpaka next flight tunakupa 300$ hawakupata mtu mpaka walipopandisha 800$ mchizi nikanyoosha mkono:D
Kwa hiyo ndege huko Marekani mnapanda benki? Na hizo benki zina bandari kama ya Dar ya boti za Unguja?
 
Hivi karibuni nilikuwa Zanzibar, baada ya shughuli zangu nilikwenda bandari lakini nikawa nimechelewa boat. Nikalazimika kupanda ile ya saa 3 usiku. Tulifika Dar saa 9 usiku ila cha ajabu tukaambiwa kushuka ni saa 12 asubuhi. Hii iliniacha na maswali sana kama kuna kusafiri usiku kwa nini tusishuke maana kwa Dar saa 9 usiku ni kama kumekucha tu. Kama issue ni bandari basi uwekwe utaratibu ila kwa sasa ni kusumbuana aisee. Yaani haya mambo ni viashiria vya umasikini wa nchi.

Ni mambo ya kiusalama na utendaji zaidi. Wewe umefikiria upande wako wa abiria lakini hujafikiria upande wa wafanyakazi wakaokuja kukuhudumia. Wengine hiyo saa 9 usiku ndiyo wanatoka makwao ili waje kukuhudumia wewe saa 12 asubuhi.

Kifupi ni mipangilio ya kikazi tu.

Tatizo letu kubwa Tanzania ni ujinga tu, kwanini meli iondoke huko ilitoka saa ambazo wanafahamu itafika Dar saa 9 usiku na abiria watakalishwa ndani ya boti mpaka ifike 12 asubuhi?

Ni ujinga tu wa safari ilipoanzia siyo ilipoishia.
 
Hivi karibuni nilikuwa Zanzibar, baada ya shughuli zangu nilikwenda bandari lakini nikawa nimechelewa boat. Nikalazimika kupanda ile ya saa 3 usiku. Tulifika Dar saa 9 usiku ila cha ajabu tukaambiwa kushuka ni saa 12 asubuhi. Hii iliniacha na maswali sana kama kuna kusafiri usiku kwa nini tusishuke maana kwa Dar saa 9 usiku ni kama kumekucha tu. Kama issue ni bandari basi uwekwe utaratibu ila kwa sasa ni kusumbuana aisee. Yaani haya mambo ni viashiria vya umasikini wa nchi.
Kuna watu wapo bandarini bado wanawaza kijima sana, mabasi yanasafiri saa ishirini na nne, una meli inajulikana inaingia saa flani bandarini. Wao wanafunga vipi mageti na kuendelea kulala hadi asubuhi?

Je abiria wasio na mizigo wanakatazwa nini kuendelea na safari. Hadi Mhe. Rais aseme ndipo watabadilika? Nchi hii inakwama kiuchumi kwa sababu watu wanapenda sana kulala......nashauri huu utaratibu uondolewe watu kukimbizana na ratiba za mabus
 
Ni mambo ya kiusalama na utendaji zaidi. Wewe umefikiria upande wako wa abiria lakini hujafikiria upande wa wafanyakazi wakaokuja kukuhudumia. Wengine hiyo saa 9 usiku ndiyo wanaytoka makwao ili waje kukuhudumia wewe saa 12 asubuhi.

Kifupi ni mipangilio ya kikazi tu.

Tatizo letu kubwa Tanzania ni ujinga tu, kwanini meli iondoke huko ilitoka saa ambazo wanafahamu itafika Dar saa 9 usiku na abiria watakalishwa ndani ya boti mpaka ifike 12 asubuhi?

Ni ujinga tu wa safari ilipoanzia siyo ilipoishia.
Kama bandari inafanya kazi masaa 24 kwa nini wafanyakazi wasiwe na shift za mchana na usiku
 
Hivi karibuni nilikuwa Zanzibar, baada ya shughuli zangu nilikwenda bandari lakini nikawa nimechelewa boat. Nikalazimika kupanda ile ya saa 3 usiku. Tulifika Dar saa 9 usiku ila cha ajabu tukaambiwa kushuka ni saa 12 asubuhi. Hii iliniacha na maswali sana kama kuna kusafiri usiku kwa nini tusishuke maana kwa Dar saa 9 usiku ni kama kumekucha tu. Kama issue ni bandari basi uwekwe utaratibu ila kwa sasa ni kusumbuana aisee. Yaani haya mambo ni viashiria vya umasikini wa nchi.
Kwanza inaonyesha kisa ni cha kuhadithiwa saa 3 mpaka saa 9 mlikwenda mogadishu ndio mkarudi dar!
 
Niliwauliza wakasema ; kwanza ni usalama wa abiria, pili ni kutokuwa na wakaguzi nyakati za usiku pale bandarini
Kwahiyo vyote vinakwenda pamoja, hivyo inabidi Mamlaka zilitazame hilo kwa makini.

Maisha yamebadilika jiji limekuwa kuna maeneo sasa YANAPASWA kutoa huduma kwa masaa 24. Kikubwa WAKAGUZI waongoze muda wa kufanya kazi.

Mbona ndege zinatua wakati wowote, ukaguzi unafanyika na kila abiria anatafuta usafiri wake.

Treni linafika muda wowote na kila abiria anakadiria muda wake na usalama wa kule aendako safari inaendelea.

Kuna mazoea fulani ya kutoa huduma inabidi YABADILIKE sasa ,tuache kukariri tujaribu KUJIFIKIRISHA na kuondoa UKALE.
 
Hivi karibuni nilikuwa Zanzibar, baada ya shughuli zangu nilikwenda bandari lakini nikawa nimechelewa boat. Nikalazimika kupanda ile ya saa 3 usiku. Tulifika Dar saa 9 usiku ila cha ajabu tukaambiwa kushuka ni saa 12 asubuhi. Hii iliniacha na maswali sana kama kuna kusafiri usiku kwa nini tusishuke maana kwa Dar saa 9 usiku ni kama kumekucha tu. Kama issue ni bandari basi uwekwe utaratibu ila kwa sasa ni kusumbuana aisee. Yaani haya mambo ni viashiria vya umasikini wa nchi.
Kabisa bandari ikeshe..soko la kariakoo likeshe..etc
 
Hilo ndio tatizo kubwa na la msingi, na halijaanza kupigiwa kelele leo.. Zamani zile za Flying horse bandari ya Zenji ilikuwa inafungwa saa nne usiku kwahiyo inabidi chombo kiondoke babdarini na kwenda kupaki huko katikati ya bahari mpaka saa tisa alfajiri ndio kianze safari ya Dar

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha mambo ya kitambo sana
 
Back
Top Bottom