Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
Sio kweli usiwe mpumbavu kiasi hicho.
Delmonte ni juisi za Kenya. Kujithamini kunaanzia na vitu vidogo sana na utamaduni unajengeka.
Sio kweli usiwe mpumbavu kiasi hicho.
Nadhani mabehewa hufuata kichwa binafsi yangu kwa dhati nasema nchi itasonga mbele inaweza isiwe kwa matarajio yetu lakini kwa kiasi fulani tatizo letu ni usimamizi kwani tuna utajiri mkubwa wa rasilimali.
Ngoja watakapoambiwa magari wanayotakiwa kutumia ni toyota korola hapo ndio patakapokuwa patamu!!
Khaa!! Tingatinga pia angepiga marufuku biashara ya udalali. Kuna mijitu inakula bata mjini wakati mkulima anatokwa na jasho inasubiri mazao yakomae iende ikawalalie wakulima. Hii haikubaliki. Serikali isimamie mfumo wa kumuuwezesha mkulima kupata pembejeo kwa wakati na kumsaidia kupata masoko yenye faida.
Wamekula na nyama ya punda ya kile kiwanda cha wachina dom
Another bullshit,
Kwahiyo essence ya mada wewe umeona ni hafla?
Seriously unataka tujadili walikula takataka gani watakunya nini?
Think outside the box bwanaaa ahhh!
Unajiaibisha bure jombaaa...heri ukae kimya..wenzako kina MR PRESIDENT mshana jr Mmawia nifah walishakubali na kujinyamazia kimya kutunza heshma yao.
Mwenendo wako wa uandishi ni wa kujikomba zaidi mamlakani, anyway hakuna "Mapela" ila kuna Pera!
Hivi DuppyConqueror unanitafuta nini lakini?
Wewe haya.
Kila kitu kina mwanzo. Safari ndefu huanza na hatua moja....
Wakuache jamani yaliyo kukuta si madogo hahaha
Rais John Magufuli, amekuwa akisisitiza azma ya Serikali yake ya kufufua na kuanzisha viwanda vipya.
Lakini huwezi kuwa na viwanda vipya kama sisi wenyewe hatutumii bidhaa zinazozalishwa kwenye viwanda hivyo.
Leo nimeona jambo la faraja sana Ikulu ya Chamwino. Juisi (sharbati) zote zilikuwa ni za hapa hapa nchini, hasa kutoka Azam.
Zilikuwapo za kila aina kuanzia za machungwa, mananasi, maembe, mapela, na kadhalika. Kwa maji ya kunywa, yalikuwapo Kilimanjaro kutoka kwa Mzee Mengi.
Mvinyo haukuwapo, pengine kwa sababu muda haukuruhusu; kama ungekuwapo, basi bila shaka ungekuwa ni Dompo, Dodoma, Presidential, n.k kutoka hapa hapa Dodoma.
Kama Ikulu wameanza kuthamini bidhaa za ndani, huu ni mwanzo mzuri wa kuimarisha viwanda vyetu vya ndani.
Hakuna sababu ya kunyeshwa juisi za Afrika Kusini au Kenya, ilhali sisi wenyewe tunazo za kiwango cha juu. Huu ni mwanzo mwema.
Kuliko mme wako wa zamani??Mimi naamini magufuli atakuwa kiongozi wa msaada sana kwa watanzania mungu ampe afya njema tu tutfika pasipo shaka tuendako.
Manyerere Jackton
Kama hilo ni kweli lilikuwa lengo basi naweza kusema kwamba Raisi Magufuli ameanza na mguu mzuri na huko mbele mambo yatanyooka tu, kinachofwata aanze na furniture za maofisini maseremala wetu wapewe kazi, kwanza wawezeshwe kwa kuwapa utaalamu tuna veta zakutosha tu au hata magereza pia wanatengeneza furniture, hapo itakuwa ni win win situation kwani tutazalisha ajira kwa watu wetu na pia kuongeza ubora wa bidhaa zetu hali itakayopelekea kuanza kuexport nje ya nchi!
Safi sana Magufuli!
Mnarekebisha makosa yenu,mnajisifia? Watu wenye akili mgerekebisha makosa yenu kimya kimya!Jana kaongea mil 223 za uzinduzi wa bunge ziende kununua magodoro.na vitanda muhimbili.leo msd wameshusha.vitanda 500 na.magodoro 500, Nani.kama magufuli kweli.Hapo.kazi Tu.