Kuna UWEZEKANO kabisa......
...... ukitulia kisaikolojia UTASIKILIZIA vizuri.
UKITULIA utakuwa na uwezo zaidi wa kufuatilia hatua za utamu ZIKUSOGELEAVYO kabla ya KUSIKILIZIA ingawa unajua unaonja nini.
Kama hujui uonjacho,...
....UKIKUZA sana TEGEMEO la UKUBWA wa paja la utamu wakati hujui utamu wa bata na hukuona BATA aliyechinjwa, unaweza usiridhike na KAPAJA ka kuku utakakopata ingawa bado kuku ni MTAMU.
Nataka kusema kitu, bado nakifikiria,
Nifikiri mara tatu, kisha nitawaambia,
Ninachotaka kusema.
Nimepatwa na ufyatu, mambo yamenizidia,
Msiotwe roho kutu, mwapaswa nisaidia,
Kuna kitu ntasema.
Miaka makumi tatu, mie naikaribia,
Nami kati yao watu, heshima naitakia,
Mwaelewa nachosema?
Na huu siyo upatu, nikaukurupukia,
Nitawashangaza watu, ovyo kujiamulia,
Niendelee kusema?
Moyo wangu siyo butu, pekee kujikalia,
Nao wahitaji kitu, kesho nitawaambia,
Basi kesho ntasema.
Au Niseme Leo ? Umefahamu nitakacho ?
Halafu unataka kusema kitu kama ulivyosema hapa:
Usiseme leo wala kesho, kaa nacho mwenyewe bidada, hujatulia.
Kuna UWEZEKANO kabisa......
...... ukitulia kisaikolojia UTASIKILIZIA vizuri.
UKITULIA utakuwa na uwezo zaidi wa kufuatilia hatua za utamu ZIKUSOGELEAVYO kabla ya KUSIKILIZIA ingawa unajua unaonja nini.
Kama hujui uonjacho,...
....UKIKUZA sana TEGEMEO la UKUBWA wa paja la utamu wakati hujui utamu wa bata na hukuona BATA aliyechinjwa, unaweza usiridhike na KAPAJA ka kuku utakakopata ingawa bado kuku ni MTAMU.
..Kweli tupu!! michezo ya bata kuku hawezi asilani....kuku ni kuku tu na bata ni bata tu
Tatizo, watu wameshaKUZA sana utamu wa BATA, ni kama ile hadithi ya KUSADIKIKA, sasa wengi wamelewa na kufikiria huo UTAMU ijapokuwa hawajauonja....
Hata kama UKITULIA, kuku atakuwa mtamu lakini SI mtamu kama utamu wa BATA ulivo MTAMU, Ijapokuwa kwa kufikirika, hivyo basi utulivu unakuwa tena Sifuri...
Just like me!