Tulia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tulia!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bikra, Jun 1, 2009.

 1. Bikra

  Bikra Senior Member

  #1
  Jun 1, 2009
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 103
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kuna UWEZEKANO kabisa......
  ...... ukitulia kisaikolojia UTASIKILIZIA vizuri.

  UKITULIA utakuwa na uwezo zaidi wa kufuatilia hatua za utamu ZIKUSOGELEAVYO kabla ya KUSIKILIZIA ingawa unajua unaonja nini.

  Kama hujui uonjacho,...
  ....UKIKUZA sana TEGEMEO la UKUBWA wa paja la utamu wakati hujui utamu wa bata na hukuona BATA aliyechinjwa, unaweza usiridhike na KAPAJA ka kuku utakakopata ingawa bado kuku ni MTAMU.
   
 2. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  Halafu unataka kusema kitu kama ulivyosema hapa:  Usiseme leo wala kesho, kaa nacho mwenyewe bidada, hujatulia.
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160

  www.************ where they viewed and commented openly!! Just a note to Bikra Bukra ---- RIP Ze utamu
   
  Last edited: Jun 1, 2009
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Tatizo, watu wameshaKUZA sana utamu wa BATA, ni kama ile hadithi ya KUSADIKIKA, sasa wengi wamelewa na kufikiria huo UTAMU ijapokuwa hawajauonja....


  Hata kama UKITULIA, kuku atakuwa mtamu lakini SI mtamu kama utamu wa BATA ulivo MTAMU, Ijapokuwa kwa kufikirika, hivyo basi utulivu unakuwa tena Sifuri...
   
 5. k

  kikukuu Member

  #5
  Oct 2, 2009
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 13
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  kuku ni kuku tu na bata ni bata tu
   
 6. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Kweli tupu!! michezo ya bata kuku hawezi asilani....
   
 7. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  nimeachwa njia panda....
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Just like me!
   
 9. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Me too!
  Wajameni, mnaonaje mkitufafanulia ili tuende pamoja?
   
 10. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Whats going on?
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,577
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  jamani hizi ndo nataka paja mie kipapatio hakinitoshi ama ?

  mie mmeniacha njia panda
   
 12. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #12
  Oct 2, 2009
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Kuku ni kuku, bata, jogoo, majina tu!
   
Loading...