Kuna vitu viwili hapa bado najaribu kuvifanyia comparison coz naona vyote vinategemeana na ndivyo vitakavyonifanya niridhike maishani mwangu!! mmmh.............ila haka ni kachemsha bongo tosha kabisa!! ADI nitarudi baadae.
nimegundua kuwa watu wengi humu ni ma selfish...lol
siri mojawapo ya furaha ni kuwasaidia wengine wapate furaha.....
ndo maana kuna kazi ambazo wanaozifanya huwapa furaha mno kila siku...
tazama madaktari wa upasuaji akifanikiwa kazi yake......
na kadhalika
... Sihaitumiki...fine.. Nataka kuitumia!!! Au?AJ bado tu walalama kuhusu Signature??? lol What is wrong with this one?? (thou kuna member mwingine nae kaniambia..lol)
nimegundua kuwa watu wengi humu ni ma selfish...lol
siri mojawapo ya furaha ni kuwasaidia wengine wapate furaha.....
ndo maana kuna kazi ambazo wanaozifanya huwapa furaha mno kila siku...
tazama madaktari wa upasuaji akifanikiwa kazi yake......
na kadhalika
Mimi nikipata hela za kutosha nataka nifungue orphanage. Na mimi bado mbinafsi?
aisee DC... Upo wapi kakangu?? Dinner ya kupimiwa??
.... Sure it will .. Since its the only thing ... I can visualise ... kama nimetuliaa sanah ... Subiri hapo hapo uione ikipandaa ... !! Ofcourse ... no regreat! LolWill that make you happy AJ?? If it will, i allow you with pleasure...
aaisee... Mzee DC naomba nidadafulie hii post, maana sijaipata....
<br />kuwaona ma parents as young as they used to be in those old dayz
Nadhani nikipata mke mwema atakaenilelea wanangu nitaridhika sana.
.... Sure it will .. Since its the only thing ... I can visualise ... kama nimetuliaa sanah ... Subiri hapo hapo uione ikipandaa ... !! Ofcourse ... no regreat! Lol
Kuna babu mmoja wa kimasaia alinambia hivi..."nyie waswahili ni wajinga sana..eti mwanaume nasema natosheka na mke mmoja, mna akili kweli????"....
Baada ya kumaliza hii miongo yoote niliyomeza, naanza kuona kwamba yule babu alikuwa jiniasi!!!
Hio kweli ni muhimu... ila umeongea kama hauna uhakika vile.... "nadhani"??
Kipp swagger zako hizo usiporudi hapa nakufuata ulipo...lol