Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 10,800
- 19,773
Nalia na jeshi la polisi tu,huu utapeli wa kutumia namba zilizosajiliwa kwa alama za vidole haukupaswa kuwepo kabisa.
TCRA waliwahi mno,wangesubiri NIDA iandikishe na kutoa NIN kwa walau watu wengi ndiyo wafungie SIM cards.
Mawakala wanauza namba zilizosajiliwa,TCRA wapo ofisini.
Ukienda Polisi,hatafutwi mwenye taarifa za hiyo namba iliyotumika badala yake wanataka wampate anayetumia hiyo namba wakati huo kwa kutafuta CDR.
Kuipata hiyo CDR kutoka TCRA wanakuambia ni mchakato mrefu wa kuandika barua ila kuna shortcut za njia ya panya! Pesa itoke hapo.
Tapeli gani atatumia namba hiyo kuwasiliana na watu wake wa karibu hadi mumpate kupitia CDR?
Hiki kitengo cha Cybercrime polisi kinahitaji ubia na sector binafsi yenye weledi maana uhalifu umehamia huko kwa sasa!
Traffic si wameingia ubia kukagua magari? Na huku wapewe wenye uwezo na teknolojia.