residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,008
- 14,522
Ni nchi ya kitapeli, wizi, uwongo na sote tu wajinga.Sio kweli.
N fursa ya wenye akili kupata pesa kupitia wajinga wajinga, n kama mwamposa tuu anavyowanyoosha wajinga
Jumapili nilikuwa nimetulia na mjukuu wangu, akaniambia ndani ya miezi mitatu iliyopita, M-Pesa account yake imekuwa ikipotea tsh 30 mpaka 70 kwa siku bila maelezo.
Ni wangapi tunaibiwa namna hii na tunakaa kimya kisa ni hela ndogo!!??
Ndio maana nasema nchi (mfumo umeruhusu) imekuwa ya kitapeli, kiwizi na kiuwongo.