Tulia Ackson Mwansasu, PhD, ananikumbusha mbali sana

Tulia Ackson Mwansasu, PhD, ananikumbusha mbali sana

Hizi stori ulikua unasimuliwa na walezu wako ili usinzie unazileta huku, ujue huku unaongea na watu wazima.

huku kudekadeka mlikozoea enzi hizo saiv haipo, kama mmezoea michuzi ya nyama sasa mle ugali mkavu

Alafu ukimaliza nenda kanunue ARVs vya bure vyimeisha. Sisi CHADEMA tutaendelea kupambana hadi wewe ARV uendelee kupata bure
 
Wakati utasema nami sitachoka kukumbusha! Mabadiliko yoyote yanataka utashi. Kulikuwa na pesa ambazo walikuwa wanamiliki na kufaidi watu wachache. Ila wengi wa watu wa kati na maskini kama mimi hatukuziona hizo pesa. Au nawe ni muhanga wa hapa kzi tu!
Kauli yake kuwa watu wataishi kama mashetwani itamkosti sana tu, how come watu wa MUNGU wawe mashetwani? Take it easy, hakujua anafanya kazi ya MUNGU? Mungu ndie ANAE weka tawala za wanadamu, je anaongoza mashetwani sio, kipindi kifupi tu kila sura imekunjamana, watu wamejawa na hofu, WEWE fanya kareseach hapo kwenu MTAA, uniambie umegundua nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom