Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Hizi stori ulikua unasimuliwa na walezu wako ili usinzie unazileta huku, ujue huku unaongea na watu wazima.
huku kudekadeka mlikozoea enzi hizo saiv haipo, kama mmezoea michuzi ya nyama sasa mle ugali mkavu
Ni kweli tutawachagua CCM maana wanatutetea sana,ukiangalia michango yao ni mizuri mno,wametaka serikali iongeze kodi kwenye Diesel na Petrol kwa maana item hiyo kodi zetu ndizo zinalipia,walikataa katakata kukatwa kodi kwa maana siye wadanganyika tuendelee kulipa kodi wao marufuku maana ni waheshimiwa sana.
Wameomba kujengwa kiwanja cha mpira sababu Rais alipiga push up hapo eti sababu Lowassa alishindwa kufanya hivyo,ni sahihi kabisa hata mie nawapongeza,wameomba tubomoe yule askari pale ili tuiweke sanamu ya Diomnd,ningependa waziri wa michezo afanye hivyo haraka jiji lipate kubadilika.Wametaka bangi ihalalishwe maana wao wanakosa biashara,namshangaa waziri wa biashara na sheria hadi leo bado hawajaiondoa kwenye orodha ya items zilizopigwa vita.
Hongera sana😕😕