Mallata Jr.
JF-Expert Member
- Feb 24, 2014
- 461
- 392
Wakuu hivi ile Nyimbo "Ooooooh! Mama mia naumia moyoni Ooooooh mama miaaaaaaa". Aliimba nani vileeeee?
Wakuu hivi ile Nyimbo "Ooooooh! Mama mia naumia moyoni Ooooooh mama miaaaaaaa". Aliimba nani vileeeee?
Na JOHN MGEMA aka Bomba la mvua WACHUMBA 30 Iikuwa full shangwe
Huo ninao ngojaMwenye wimbo Wa Sonell "posta” aupandishe.
Yah ni mwenyeweAliimba dj carter alikua mtangazaji wa kiss fm kama sijakosea
Huo ninao ngoja
"Labda kesho nami nitadaka mavumba, labda kesho nami nitayumbayumba,enzi hizo ule wimbo wa Mb-dog "LATIFA" ukichezwa radion, mwenzenu nilikuwa napelekwa dunia nyingine kihisia, nakumbuka pia ule wimbo wa Prof. Jay "ZALI LA MENTALI" ulinibamba pia. Zipo nyimbo nyingi km vile ZEZE, KIKONGWE, KAMANDA, BARUA, MZEE WA BUSARA etc. We mwenzangu uliupenda wimbo/nyimbo gani zilizotamba enzi hizo? Tumetoka mbali sana!