Tukumbushane Nyimbo za Bongo Flava Zilizotamba enzi za 2000-2008

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
enzi hizo ule wimbo wa Mb-dog "LATIFA" ukichezwa radion, mwenzenu nilikuwa napelekwa dunia nyingine kihisia, nakumbuka pia ule wimbo wa Prof. Jay "ZALI LA MENTALI" ulinibamba pia. Zipo nyimbo nyingi km vile ZEZE, KIKONGWE, KAMANDA, BARUA, MZEE WA BUSARA etc. We mwenzangu uliupenda wimbo/nyimbo gani zilizotamba enzi hizo? Tumetoka mbali sana!
 
mnaukumbuka ule wimbo wa dully skykes NYAMBIZI? ULIKAMATA MASIKIO YA WATU SANA.
 
Majukumu & maisha ya boarding za Jmoe, funga kaz & chemsha bongo za HBC, Solothang na mambo ya pwan alibamba vilivyo.
 
Majukumu & maisha ya boarding za Jmoe, funga kaz & chemsha bongo za HBC, Solothang na mambo ya pwan alibamba vilivyo.
Hahahahaa! J'mo anasema "mwalimu fimbo mkononi kisa wali na nyama, hapo ndipo utakapo kumbuka ubora wa baba na mama"-Maisha ya Boarding!
 
TID wakati ule ndo anaanza was hot kuna kitu cha Siamini, Mrembo vilikuwa si Mchezo
wakati huo Crazy GK alikuwa na Pauline Zongo na Kitu cha Sista Sista, Sugu akiwa na kitu cha Chini ya 18,
Ay akiwa na na GK wakiwa na kitu miko ya Rap was Funny Jamani!
 
TID wakati ule ndo anaanza was hot kuna kitu cha Siamini, Mrembo vilikuwa si Mchezowakati huo Crazy GK alikuwa na Pauline Zongo na Kitu cha Sista Sista, Sugu akiwa na kitu cha Chini ya 18,Ay akiwa na na GK wakiwa na kitu miko ya Rap was Funny Jamani!
Mkuu unakumbuka HILI GAME ya Juna Nature?
 
umenikumbusha zali na mentali,sintobadilika na wimbo wa pombe wa suma G pia ule wa Q chief si ulinizaa wewe ukanikataaaa
 
Mpenzi wangu me amenikataa
Mpenzi wangu me amenikataa
Mpenzi wangu me amenikataa amezua balaa..

mmmh mmmmh mmmh mmmh mmmmh
lalala lalala lalala lalala lalala lala .....
 
TID wakati ule ndo anaanza was hot kuna kitu cha Siamini, Mrembo vilikuwa si Mchezo
wakati huo Crazy GK alikuwa na Pauline Zongo na Kitu cha Sista Sista, Sugu akiwa na kitu cha Chini ya 18,
Ay akiwa na na GK wakiwa na kitu miko ya Rap was Funny Jamani!
hii ngoma imenikumbusha kipindi nikiwa chuoni.enzi hizo ni DAR HOTWARE NDO ILOKUWEPO TU,SO UKIBOREKA UNALOG IN NA KUANZA KULA MIDUNDO.
 
Mpenzi wangu me amenikataaMpenzi wangu me amenikataaMpenzi wangu me amenikataa amezua balaa..mmmh mmmmh mmmh mmmh mmmmhlalala lalala lalala lalala lalala lala .....
Ilikuwa ngoma ya nan hv? TUKUMBUSHANE!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom