Tukumbushane miiko ya mila zetu

Bora nimekukuta hapa for now i remember deni... Aalafu XP
nakubali hio misemo ila tu huo wa zeru zeru ndio niliosema haufai....
Ndio maana nikasema mila zingine (note sio yooote...)
Ah ah ah ah, deni lako linafanyiwa kazi.

Ilo la zeru zeru, nadhani ujanielewa. jamii nyingi za Kiafrika wanawachukulia mazeruzeru kama raana fulani hivi na ni watu wenye kutia kinyaa, sasa wazee kwa kutaka watu wenye matatizo ya ngozi kama hao waheshimiwe kwenye jamii, ndio wakaja na msemo huo kama unawaonea kinyaa basi temea mate kwenye nguo yako, kitu ambacho kiukweli ni uchafu na wewe utaona kwanini utemee mate nguo yako, then utawaona nao ni watu wa kawaida tu kama wengine.
 
Noted Mkuu... sasa nimekupata... Thanks...

Nipe mila zako basi...
 
Ah ah ah mi mila zangu bana, dah!

Haya:

Moja: Usimzarau Mwanamke utakosa Mke (Kwa Wanaume)
Mbili: Usimzarau Mwanaume utakosa Mume (Kwa Wanawake)
Tatu: Usile kizani utakula na shetani (wakimaanisha unaweza kula na wadudu)
Nne: ............... nyingi nimezisahau
 
mmmmh! XP hizo juu ni za dini za mila??
 
ukienda dukani usiku kununua chumvi usiite chumvi hutauziwa na mwenye duka, ukifika sema nataka dawa ya mboga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom