Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,529
...cha ajabu basi, wakati huo zilikuwa zinakuja ndege za mashirika makubwa kama PAN AM ya marekani, SABENA ya ubelgiji, AEROFLOT ya mrusi, ALITALIA ya muitaliani, LUFTHANSA ya mjerumani, hata AIRFRANCE ya mfaransa! ...Jumatatu mpaka jumapili kwa ratiba nilijua saa ngapi na siku gani ndege gani ingekuja pale Dar Airport, terminal 1
Mchongoma,
Si kujua ratiba tuu, mpaka sauti za ndge tulikuwa tunajua ni ndege gani ikipita kabla hujaangalia angani. Zilizokuwa rahisi kabisa ni yale Ma-Tupolev ya Aeroflot, yalikuwa na mlio mono, huku Boeing, McDonnel na Lockheed zikiwa stereo na bado tulikuwa tunajua ni shirika gani kwa sauti kila siku