Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

Apr 27, 2006
12,622
1,235
Mwalimu (RIP)Baba Wa Taifa Hili, na Mkewe Mama Maria

Wakuu Wote Jamii Forums, Heshima mbele!

Katika hiki kipindi cha mapumziko nimeona sio vibaya tukijikumbusha historia yetu ya taifa katika picha, ninawaomba wakuu wote wenye picha interesting kisiasa kwa taifa letu, tuziweke hapa ili tujikumbushe na kuelemishana kidogo kuhusu taifa letu lilikotoka, unajua wananchi wasiojua walikotoka hawawezi kujua wanakokwenda.

Ahsante wakuu.
 
i1359_scan.jpg


KAMA TULIVYOAHIDI TUNAENDELEA KULETA SIASA KATIKA PICHA.

AHSANTE WAKUU! Na tutaendelea pole pole kuleta more, ningeomba tu kwa wale walionazo pia mziweke hapa!
 
Labda ni vizuri pia kujikumbusha muungano kwa vile uko kwenye msukosuko sasa hivi:


1565780649023.png


Wino unaangushwa rasmi kuhalalisha muungano
1565780785761.png


Maelezo ya picha hii yanaeleweka

1565780683101.png

Nyerere anachanganya mchanga wa Zanzibar na Tanganyika kukamilisha zoezi la Muungano.

1565780827865.png

Ndani ya bunge, Nyerere na Karume wanabadilishana hati za kisheria kukamilisha zoezi la muungano.
 
Hiyo picha ya Michael Jackson na Rais Mwinyi imenikumbusha mie mwaka 1979 wakati Mohammed Ali alipokuja Tanzania kwa niaba ya serikali ya Marekani kutushawishi tususie michezo ya olimpiki ya mwaka 1980 iliyokuwa inafanyika Moscow. Pale uwanjani alikumbana na Mheshimiwa Mwambungu ambaye nadhani alikuwa mkurugenzi fulani kwenye wizara iliyokuwa inahusika na michezo, wakakunjiana mashati kama ionekanavyo kwenye picha mojawapo hapa.

1565780966379.png


1565781016271.png


Huyo aliyekunjiana na Mohammedi Alikuwa alikuwa anaitwa mwmabungu, nadhani alikuwa mkurugenzi wa idara ya michezo kwenye wizara ya utamaduni
 
this man Nyerere,kumbe ameshatokea katika cover ya TIME magazine,kumbe hii mutu ilikuwa,a mover and shaker katika world affairs,unlike what we are made to believe from some quarters
 
Mtakumbuka mengi kwani hata maiti hukumbukwa na ikiwa kunahitajika uchunguzi wakaenda kufukuliwa. Na Uchunguzi kufanyika na ushahidi kukubaliwa.Na haki kutendeka.
Naona karibu mtaiona miti yote inateleza.
 
Mtakumbuka mengi kwani hata maiti hukumbukwa na ikiwa kunahitajika uchunguzi wakaenda kufukuliwa. Na Uchunguzi kufanyika na ushahidi kukubaliwa.Na haki kutendeka.
Naona karibu mtaiona miti yote inateleza.

.........wacha masikhara wewe, waache watu watupatie kumbukumbuku.........ni muhimu.....
 
LOL! Kumbe enzi hizo Malecela kuna wakati alikuwa anamshikia Mwalimu kifimbo chake? :) Imenifurahisha sana picha hiyo. Wakati ule Tanzania kulikuwa hakuna mafisadi siyo kama siku hizi hata Rais wa nchi anaamua kufanya ufisadi dhidi ya nchi yake!
 
Mtakumbuka mengi kwani hata maiti hukumbukwa na ikiwa kunahitajika uchunguzi wakaenda kufukuliwa. Na Uchunguzi kufanyika na ushahidi kukubaliwa.Na haki kutendeka.
Naona karibu mtaiona miti yote inateleza.

Duh!! Babu mbona unataka kuvuruga thread ya watu? Ushaanza kukosa ustaarabu eh!!!
 
The commettee of fourteen


i1368_revrevised.jpg


Ninaowajua kwenye hii picha ni Okelo, Ramadhani Haji Faki (mzee wa 1+1=3,kulia kwa Okelo waliokaa). Waliosimama Khamis Hemed Nyuni (wa kwanza kulia) Hafidh Suleiman Almasi (wa tatu kulia) Natepe (wa tano) na Bavuai ( wa sita)
 
kwa wanaoweka hizo picha....nafikiri picha hizo zitakuwa na maana zaidi kama zikiambatana na maelezo/utambulisho wa hizo picha..........just kuweka record straight.......kuna wadogo zetu hapa .........zitaanza kuwa-bore zikiwa hazina maelezo....
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom