Huyo askari hajageuzwa kweli sahivi?
Nope, Askari Monument mnamo mwaka 1983 haikuwa hivi!
Namuona Bwana Makiadi Lwambo, akicharaza gitaa lake matata kabisa. Mambo yalipamba moto bila shaka siku hiyoHuu uzi una miaka na mikaka...jamani tusipotee sanaView attachment 2226349
Stesheni paleee. Kigoma kiutamaduni panafanana sana ukanda wa mwambao wa bahari HindiKigoma town miaka hiyo.
View attachment 2518275
Mkuu eti ni kweli nasikia kuwa aliyemuuwa Karume, alikuwa ni mmoja wa linzi wake ambaye Karume aliwahi kumuuwa baba yake, ni kweli au?
Treni ya EAR ikiwa stesheni ya Moshi ikielekea Arusha.
Pumbavu wewe 😆😆Namuona Bwana Makiadi Lwambo, akicharaza gitaa lake matata kabisa. Mambo yalipamba moto bila shaka siku hiyo
Kibao matata🤣🤣lugha za zamani zilikuwa zinafurahisha, siku hizi watangazaji sijui wanaongea niniPumbavu wewe 😆😆
Kwani waislamu wanapatikana pwani tu? Kigoma ujiji, Tabora, singida kwote majoroty waislamu ila sio wa pwani.Kwa nini usiandike "WAISLAMU" tu?Mtakuja kufa kwa gubu na sonona.
Historia muhimuMfano Uhuru wa nchi hii mapambano makubwa yalifanywa na watu wa Pwani
Mfano Dar Es Sallam jamii za mkoa huu zilipambana haswa hadi Uhuru ukapatikana
Huyo nyerere mchango wake ni mdogo sana, lakini waliompambania hadi hapo wapo ijapo alikuja kuwageuka Julius hakua na shukurani kabisa
Mungu awabariki wazee wa DSM na Pwani
My take:Huwa nawashangaa hawa wajinga humu wanaokashifu watu fulani kwa kuwaita majina ya ajabu wakisahau bila wao tusingepata uhuruView attachment 2952843View attachment 2952844
Hii picha wachaga wataikataachachagga tribe 1890![]()