Tuko serious kiasi gani na hii vita?

Tuko serious kiasi gani na hii vita?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,120
1421226000905.jpg
 
Anayetakiwa kuwa serous anawapokea kwenye ofisi kuu ya nchi waliozidiwa namatumizi ya hii kitu na kuzungumza nao kirafiki.Mmoja aliyezidiwa sana alimtembelea mkulu na kumwita mkulu 'baba'
 
ila mtu kwa akili zako utajidungaje ili upate stimu,si mateso hayo
 
ila mtu kwa akili zako utajidungaje ili upate stimu,si mateso hayo
Niliwahi shuhudia mmoja kama amepoteza fahamu huku akiwa amejilaza chali alipokuja mwenzake aliefuata dozi baada ya kumdunga jamaa aliekuwa amejilaza chali akachangamka.

Madawa ya kulevya kitu kibaya sana.

Kuna wengi wanaopoteza maisha na waliopoteza maisha tayari
 
ma''kingpin'' wa migomigo na mapusha wao kamwe wasingependa kusikia swali kama hili...
 
ma''kingpin'' wa migomigo na mapusha wao kamwe wasingependa kusikia swali kama hili...

Only because they are making easy dough out of it...!!! They jus don't care the rest..!!!
 
Back
Top Bottom