So SaaaddHii team inabidi uwe unaishabikia kishkaji tu. Yaani usiwe nayo serious kabisa.
Ukute kuna kiumbe kinashabikia Man u ,Madrid na Yanga kwa pamoja 😂Hii team inabidi uwe unaishabikia kishkaji tu. Yaani usiwe nayo serious kabisa.
Hii timu ilishamaliza utawala wake EPL mwaka 2013Hii team inabidi uwe unaishabikia kishkaji tu. Yaani usiwe nayo serious kabisa.
Kipindi cha Mrussia, Stanford palikua panaogopeka.Bora hata ya sisi mashabiki wa Chelsea tumekubaliana na hali yetu. Presha hatuna na maisha yanaendelea.
Jana tumepigwa vigoli viwili nyumbani na kibonde. Safi.
Tangu wamfanyie majungu Abramovich timu imegeuka kuwa ya kipuuzi hadi basi.
Hata mwantesa kinachowasumbua ni hicho, yule mzee gleza mwenye timu yake alipofariki tu, timu akawaachia wahuni, wale wanajua kutumia pesa tu, mpira hawana habari nao.Bora hata ya sisi mashabiki wa Chelsea tumekubaliana na hali yetu. Presha hatuna na maisha yanaendelea.
Jana tumepigwa vigoli viwili nyumbani na kibonde. Safi.
Tangu wamfanyie majungu Abramovich timu imegeuka kuwa ya kipuuzi hadi basi.
Aisee maisha yanaenda kasi sana. Hawa Wamarekani walioletwa ni takataka kabisa. Chelsea ya miaka ile kuiangalia tu ilikuwa ni raha.Kipindi cha Mrussia, Stanford palikua panaogopeka.
Next game tunakutana vibonde wawili sasaBora hata ya sisi mashabiki wa Chelsea tumekubaliana na hali yetu. Presha hatuna na maisha yanaendelea.
Jana tumepigwa vigoli viwili nyumbani na kibonde. Safi.
Tangu wamfanyie majungu Abramovich timu imegeuka kuwa ya kipuuzi hadi basi.
Huyu kijana wa watu ilifikia wakati aligeuka kuwa Mangungu wa simba! Timu ikifungwa tu lawama zote anatupiwa yeye 😂Zamani sahivi ingekua lawama kwa Onana.
Chelsea yangu kuna muda inanipa matumaini kiasi cha kuanza kutamba yoyote aje ila kuna wakati sasa kama jana unakosa hata la kujitetea dadeq.Bora hata ya sisi mashabiki wa Chelsea tumekubaliana na hali yetu. Presha hatuna na maisha yanaendelea.
Jana tumepigwa vigoli viwili nyumbani na kibonde. Safi.
Tangu wamfanyie majungu Abramovich timu imegeuka kuwa ya kipuuzi hadi basi.