Ndugu zangu sababu najua mapungufu ya wa Tanzania wenzangu bado nitazidi kuwaelimisha kwa upole
Surveillance gears kama cctv zinafungwa kwa lengo maalum sio kufungwa tu ilimradi
To make the long short kuna cctv zinafungwa kutarget watu wanaoingia eneo fulani wakiwa kwenye magari usawa wa saloon cars au suv sasa unategemea hiyo camera itafungwa kwenye engle ya oblique, vertical au horizontal?
Lazima ifungwe kwenye usawa maalum no matter inamake sense kwako wewe common man or not
Sasa ngoja niwape homework
Nendeni daraja la Nyerere pale kigamboni nafikiri mtapata cha kujifunza