Tukio lililonaswa na CCTV camera ya video HD

Hh.gif
 
Ila sijui wa Tanzanian ni ushamba mwingi au ni exposure zero au uvivu mpaka wa kujielimisha au ukasuku fulani akisema basi ni 100% right

Bila kujali chochote kuhusu hili saga la Mo

Lakini kiukweli maeneo mengine ukishangaa kwamba HD cctv haipo unaweza onekana chizi

Me hapa home nina cctv camera HD with maximum of 100 frames per second which means imepita megapixels za smartphone nyingi mpaka baadhi ya Samsung galaxy

Punguzeni ulimbukeni jamani wa Tanzanian wenzangu ni bora tunatumia kiswahili dunia haisomi huu utumbo
 
Ila sijui wa Tanzanian ni ushamba mwingi au ni exposure zero au uvivu mpaka wa kujielimisha au ukasuku fulani akisema basi ni 100% right. Bila kujali chochote kuhusu hili saga la Mo. Lakini kiukweli maeneo mengine ukishangaa kwamba HD cctv haipo unaweza onekana chizi. Me hapa home nina cctv camera HD with maximum of 100 frames per second which means imepita megapixels za smartphone nyingi mpaka baadhi ya Samsung galaxy. Punguzeni ulimbukeni jamani wa Tanzanian wenzangu ni bora tunatumia kiswahili dunia haisomi huu utumbo
Hiyo ya kwako nayo umeifunga usawa wa kifuani, au imefungwa juu kama ilivyo kawaida karibu na dari?
 
Hiyo ya kwako nayo umeifunga usawa wa kifuani, au imefungwa juu kama ilivyo kawaida karibu na dari?
Kuna cctv zinafungwa specialise kwa kusoma plate numbers tu mfano cctv za stand mpya za hapa nchini sio hivyo tu hata BOT wamefunga cctv za usawa huo na institutions nyingi ikiwemo UN Arusha

Jaribu kutafuta expose ndugu yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom