Tukio lililonaswa na CCTV camera ya video HD

Tukio lililonaswa na CCTV camera ya video HD

Bado hujajibu swali la CCTV kuonyesha muda na tarehe.????? hizo zisizoonyesha muda na tarehe twende wapi tukajifunze..

Acha kusema Watanzania tuna matatizo, kwani wewe ni Mzaire au?
Hivi ile ilikua video ya cctv camera au picture kutoka cctv camera?

Kama sio video ni picture basi ukae ukijiua ni video ilifanyiwa editing ikapatikana still picture badala ya moving pictures sasa kama walifanya hiyo editing ya still picture walishindwa vipi kufanya editing ya cropping?

Otherwise ili uonekana angalau unajua kuhoji sana inabidi uanze kuhoji kwanza kwanini hii ni still picture na sio video footage.

Kila la heri wakati unaanda mahojiano.
 
Naweza kujubaliana nawe kwenye hili kwa asilimia chache, shida ni background ya picha husika, haiakisi kabisa eneo la tukio ama footage ya captured picture kwenye video, then ikafanyiwa cropping
 
Ila sijui wa Tanzanian ni ushamba mwingi au ni exposure zero au uvivu mpaka wa kujielimisha au ukasuku fulani akisema basi ni 100% right

Bila kujali chochote kuhusu hili saga la Mo

Lakini kiukweli maeneo mengine ukishangaa kwamba HD cctv haipo unaweza onekana chizi

Me hapa home nina cctv camera HD with maximum of 100 frames per second which means imepita megapixels za smartphone nyingi mpaka baadhi ya Samsung galaxy

Punguzeni ulimbukeni jamani wa Tanzanian wenzangu ni bora tunatumia kiswahili dunia haisomi huu utumbo
Issue inakaba kwenye "engo"
Camera ya cctv huwa suspended some few meters juu! Inapochukua picha ni kuwa ina glance from above!
Picha itakayopiga hiyo camera haitakuwa kama anayoioiga Muhidini Michuzi ambaye kwa height yuko level moja na object na bado hujipinda kuitafuta horizontal apate picha ambayo ndipo ulipo msingi wa tofauti na picha ya cctv camera.
 
Back
Top Bottom