Waha mmejaliwa uchawi tu ,wachaga wangeuza nchi hawafai,ngoja hii miaka kumi tuwafixmie ni Muha ila kiukweli wachaga nawakubali sana na ninaamini kama wachaga wangekuwa wengi nchi hii tungekuwa mbali sana,yaani huu ujinga eti chama tawala or chama dola usingekuwepo,angalia Kenya
Akili za CCM hiziTangu nimekuoa numeona katika mafisadi 10 lazima 6wawe wachaga na ukumbuke wachaga ni kabila dogo tu wangekuwa kama waha au wasukuma nchi hii ingeisha
Watu kama nyie hata mkifa tunawashindilia gunzi maana hamna maana
Tamaa nyingi mbele gizakuna wakat natafakari, mtanzania unalipwa mshahara milion 40, unapewa nyymba, gari na kila kitu lakin bado unaiba? Why? Kuna watu wanalipwa laki mbili tu....
Uzalendo ni muhimu unapopewa nafas ya kuutumikia umma na kusimamia rasilimali za taifa
Nenda kafungue jalada kama Kitilya na wenzake walivyofanyiwa
Bado Magufuli na mwanae Bashite, waliyokwishakuyatenda yanatosha!Kwanza, nawasalimu waungwana wote wa Jamiiforums. Pili, nakiri kuwa jambo ninalotaka kuliandika hapa limetokea juma linaloisha (Alhamisi). Nimechelewa kuandika hapa kwakuwa nilijipa nafasi ya kutafakari vya kutosha. Nimejifunza jambo kubwa kwenye maisha yangu.
Alhamisi ya tarehe 11 mwezi huu majira ya saa mbili na robo asubuhi nilikuwa kwenye viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kutekeleza majukumu yangu ya kikazi. Nilikuwa nimeambatana na Profesa mmoja wa UDSM (jina kapuni) ambaye alikuwa mteja wangu na shahidi yangu siku hiyo mahakamani hapo kwenye shauri lililonipeleka.
Mimi na Profesa tukiwa tunaingia mlango wa Mahakama husika (mlango mkuu), gari ndogo ya Magereza ya pickup ilikuwa ikirudi nyuma kutoka Mahakamani hapo. Ndani ya gari hiyo kulikuwa na Washtakiwa/Mahabusu wawili walioketishwa chini kwenye gari hilo kwa nyuma. Mmojawapo alikuwa Mzee Harry Kitilya, Kamishna Jenerali wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania aka TRA.
Ilikuwa ni kama tunapishana na gari hilo. Mzee Kitilya alipomuona Profesa anayefahamiana naye (akijitahidi kuchangamka na kusahau kwa muda maswahibu yake) alimwita Profesa kwa jina na kumsalimu. Akajitahidi kumfahamisha na mwenzake kuwa yule ni Profesa na ni rafikiye. Hakujali hata askari wa Magereza waliokuwa wamewasimamia kiulinzi. Kwa bahati njema,dereva alisimama kwa muda 'kuruhusu' salamu hiyo.
Baada ya salamu, Profesa akamwambia Mzee Kitilya: Pole. Akionekana kusawajika, kutamani kuwa nje ya gari ile huru kama mwanzoni na mwenyewe kujiamulia cha kufanya na kusema, Mzee Kitilya akajibu: Asante Profesa, tupo! Gari ikamalizia kona na kuondoka.
Mzee Harry Kitilya alikuwa Mkuu wa TRA iliyokusanya kodi nyingi nchini zilizojenga na kulipia mambo mbalimbali ya kiserikali. Alikuwa Mkuu wa wakusanya mapato ya Serikali na alifanya aliloliweza. Alikuwa akiheshimiwa na wadogo kwa wakubwa wa nchi hii na wakati mwingine kuogopwa. Leo yuko kwenye hali ile.
Ikiwa mti mbichi unatendwa vile, itakuwaje kwa miti mikavu? Nawasihi viongozi mbalimbali waweke akiba ya maneno na matendo yao. Maisha hayana formula!
twat is ur mumKwani hao uliowataja niliwafungulia majalada yao? By the way, you have just showed here that you are a twat.
Kama aliiba hayo makusanyo yake basi yana maana gani? Acha avune alichopandaKwanza, nawasalimu waungwana wote wa Jamiiforums. Pili, nakiri kuwa jambo ninalotaka kuliandika hapa limetokea juma linaloisha (Alhamisi). Nimechelewa kuandika hapa kwakuwa nilijipa nafasi ya kutafakari vya kutosha. Nimejifunza jambo kubwa kwenye maisha yangu.
Alhamisi ya tarehe 11 mwezi huu majira ya saa mbili na robo asubuhi nilikuwa kwenye viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kutekeleza majukumu yangu ya kikazi. Nilikuwa nimeambatana na Profesa mmoja wa UDSM (jina kapuni) ambaye alikuwa mteja wangu na shahidi yangu siku hiyo mahakamani hapo kwenye shauri lililonipeleka.
Mimi na Profesa tukiwa tunaingia mlango wa Mahakama husika (mlango mkuu), gari ndogo ya Magereza ya pickup ilikuwa ikirudi nyuma kutoka Mahakamani hapo. Ndani ya gari hiyo kulikuwa na Washtakiwa/Mahabusu wawili walioketishwa chini kwenye gari hilo kwa nyuma. Mmojawapo alikuwa Mzee Harry Kitilya, Kamishna Jenerali wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania aka TRA.
Ilikuwa ni kama tunapishana na gari hilo. Mzee Kitilya alipomuona Profesa anayefahamiana naye (akijitahidi kuchangamka na kusahau kwa muda maswahibu yake) alimwita Profesa kwa jina na kumsalimu. Akajitahidi kumfahamisha na mwenzake kuwa yule ni Profesa na ni rafikiye. Hakujali hata askari wa Magereza waliokuwa wamewasimamia kiulinzi. Kwa bahati njema,dereva alisimama kwa muda 'kuruhusu' salamu hiyo.
Baada ya salamu, Profesa akamwambia Mzee Kitilya: Pole. Akionekana kusawajika, kutamani kuwa nje ya gari ile huru kama mwanzoni na mwenyewe kujiamulia cha kufanya na kusema, Mzee Kitilya akajibu: Asante Profesa, tupo! Gari ikamalizia kona na kuondoka.
Mzee Harry Kitilya alikuwa Mkuu wa TRA iliyokusanya kodi nyingi nchini zilizojenga na kulipia mambo mbalimbali ya kiserikali. Alikuwa Mkuu wa wakusanya mapato ya Serikali na alifanya aliloliweza. Alikuwa akiheshimiwa na wadogo kwa wakubwa wa nchi hii na wakati mwingine kuogopwa. Leo yuko kwenye hali ile.
Ikiwa mti mbichi unatendwa vile, itakuwaje kwa miti mikavu? Nawasihi viongozi mbalimbali waweke akiba ya maneno na matendo yao. Maisha hayana formula!
Mkuu Wakili Msomi, Petro E. Mselewa, "justice delayed is justice denied", nimeguswa na hili. Kuna mtu huwa nakwenda kumtembelea, kwenye remand hiyo, ndiyo alipo Kitilya, Sioi, Dr. Tenga, Noni, Malinzi, Kaburu, etc, huu ni mwaka wa tatu!, kwenye banking transactions every move has a trail, uchunguzi gani huu?. Akikutwa hana hatia, what will it be?.Mzee Harry Kitilya alikuwa Mkuu wa TRA iliyokusanya kodi nyingi nchini zilizojenga na kulipia mambo mbalimbali ya kiserikali. Alikuwa Mkuu wa wakusanya mapato ya Serikali na alifanya aliloliweza. Alikuwa akiheshimiwa na wadogo kwa wakubwa wa nchi hii na wakati mwingine kuogopwa. Leo yuko kwenye hali ile.
Hapo ndipo ule usemi wa Wahenga unapofanya kazi! " cheo ni dhamana"Kwanza, nawasalimu waungwana wote wa Jamiiforums. Pili, nakiri kuwa jambo ninalotaka kuliandika hapa limetokea juma linaloisha (Alhamisi). Nimechelewa kuandika hapa kwakuwa nilijipa nafasi ya kutafakari vya kutosha. Nimejifunza jambo kubwa kwenye maisha yangu.
Alhamisi ya tarehe 11 mwezi huu majira ya saa mbili na robo asubuhi nilikuwa kwenye viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kutekeleza majukumu yangu ya kikazi. Nilikuwa nimeambatana na Profesa mmoja wa UDSM (jina kapuni) ambaye alikuwa mteja wangu na shahidi yangu siku hiyo mahakamani hapo kwenye shauri lililonipeleka.
Mimi na Profesa tukiwa tunaingia mlango wa Mahakama husika (mlango mkuu), gari ndogo ya Magereza ya pickup ilikuwa ikirudi nyuma kutoka Mahakamani hapo. Ndani ya gari hiyo kulikuwa na Washtakiwa/Mahabusu wawili walioketishwa chini kwenye gari hilo kwa nyuma. Mmojawapo alikuwa Mzee Harry Kitilya, Kamishna Jenerali wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania aka TRA.
Ilikuwa ni kama tunapishana na gari hilo. Mzee Kitilya alipomuona Profesa anayefahamiana naye (akijitahidi kuchangamka na kusahau kwa muda maswahibu yake) alimwita Profesa kwa jina na kumsalimu. Akajitahidi kumfahamisha na mwenzake kuwa yule ni Profesa na ni rafikiye. Hakujali hata askari wa Magereza waliokuwa wamewasimamia kiulinzi. Kwa bahati njema,dereva alisimama kwa muda 'kuruhusu' salamu hiyo.
Baada ya salamu, Profesa akamwambia Mzee Kitilya: Pole. Akionekana kusawajika, kutamani kuwa nje ya gari ile huru kama mwanzoni na mwenyewe kujiamulia cha kufanya na kusema, Mzee Kitilya akajibu: Asante Profesa, tupo! Gari ikamalizia kona na kuondoka.
Mzee Harry Kitilya alikuwa Mkuu wa TRA iliyokusanya kodi nyingi nchini zilizojenga na kulipia mambo mbalimbali ya kiserikali. Alikuwa Mkuu wa wakusanya mapato ya Serikali na alifanya aliloliweza. Alikuwa akiheshimiwa na wadogo kwa wakubwa wa nchi hii na wakati mwingine kuogopwa. Leo yuko kwenye hali ile.
Ikiwa mti mbichi unatendwa vile, itakuwaje kwa miti mikavu? Nawasihi viongozi mbalimbali waweke akiba ya maneno na matendo yao. Maisha hayana formula!
Ulishaonja mgawo wa JR na wewe!Mkuu Wakili Msomi, Petro E. Mselewa, nimeguswa na hili. Kuna mtu huwa nakwenda kumtembelea, kwenye remand hiyo, ndiyo alipo Kitilya, Sioi, Dr. Tenga, Noni, Malinzi, Kaburu, etc, huu ni mwaka wa tatu!, kwenye banking transactions every move has a trail, uchunguzi gani huu?. Akikutwa hana hatia, what will it be?.
Mimi ni muumini wa absolute justice ni kupitia karma pekee!. Karma itawalipia wote kwa matendo yao na kama wameonewa pia ni karma ndio itawafidia, na kuwalipa waonevu kwa malipo stahiki ya uonevu wao!, think of mtu kama JR, he did legit business kwa kuuza shares zake, akalipa kodi zote, akaamua kugawa fedha zake kwa yoyote, na hakuna kosa lolote kisheria kugawa pesa zako halali kwa yeyote kwa sababu yoyote au bila sababu yoyote!.
Mungu yupo, na karma ipo!.
P.
Hoja yako Petro inafikirisha,kwa maana nyingine katika maisha kuna kupanda na kushuka,kuna mapito mengi na kwamba kabla hujafa hujaumbikaKwanza, nawasalimu waungwana wote wa Jamiiforums. Pili, nakiri kuwa jambo ninalotaka kuliandika hapa limetokea juma linaloisha (Alhamisi). Nimechelewa kuandika hapa kwakuwa nilijipa nafasi ya kutafakari vya kutosha. Nimejifunza jambo kubwa kwenye maisha yangu.
Alhamisi ya tarehe 11 mwezi huu majira ya saa mbili na robo asubuhi nilikuwa kwenye viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kutekeleza majukumu yangu ya kikazi. Nilikuwa nimeambatana na Profesa mmoja wa UDSM (jina kapuni) ambaye alikuwa mteja wangu na shahidi yangu siku hiyo mahakamani hapo kwenye shauri lililonipeleka.
Mimi na Profesa tukiwa tunaingia mlango wa Mahakama husika (mlango mkuu), gari ndogo ya Magereza ya pickup ilikuwa ikirudi nyuma kutoka Mahakamani hapo. Ndani ya gari hiyo kulikuwa na Washtakiwa/Mahabusu wawili walioketishwa chini kwenye gari hilo kwa nyuma. Mmojawapo alikuwa Mzee Harry Kitilya, Kamishna Jenerali wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania aka TRA.
Ilikuwa ni kama tunapishana na gari hilo. Mzee Kitilya alipomuona Profesa anayefahamiana naye (akijitahidi kuchangamka na kusahau kwa muda maswahibu yake) alimwita Profesa kwa jina na kumsalimu. Akajitahidi kumfahamisha na mwenzake kuwa yule ni Profesa na ni rafikiye. Hakujali hata askari wa Magereza waliokuwa wamewasimamia kiulinzi. Kwa bahati njema,dereva alisimama kwa muda 'kuruhusu' salamu hiyo.
Baada ya salamu, Profesa akamwambia Mzee Kitilya: Pole. Akionekana kusawajika, kutamani kuwa nje ya gari ile huru kama mwanzoni na mwenyewe kujiamulia cha kufanya na kusema, Mzee Kitilya akajibu: Asante Profesa, tupo! Gari ikamalizia kona na kuondoka.
Mzee Harry Kitilya alikuwa Mkuu wa TRA iliyokusanya kodi nyingi nchini zilizojenga na kulipia mambo mbalimbali ya kiserikali. Alikuwa Mkuu wa wakusanya mapato ya Serikali na alifanya aliloliweza. Alikuwa akiheshimiwa na wadogo kwa wakubwa wa nchi hii na wakati mwingine kuogopwa. Leo yuko kwenye hali ile.
Ikiwa mti mbichi unatendwa vile, itakuwaje kwa miti mikavu? Nawasihi viongozi mbalimbali waweke akiba ya maneno na matendo yao. Maisha hayana formula!
huyu mzee anavuna alichopanda,kuna jamaa angu amekuwa maskini kwa sababu ya 10% aliyochukuwa huyu mzee KitlyaKwanza, nawasalimu waungwana wote wa Jamiiforums. Pili, nakiri kuwa jambo ninalotaka kuliandika hapa limetokea juma linaloisha (Alhamisi). Nimechelewa kuandika hapa kwakuwa nilijipa nafasi ya kutafakari vya kutosha. Nimejifunza jambo kubwa kwenye maisha yangu.
Alhamisi ya tarehe 11 mwezi huu majira ya saa mbili na robo asubuhi nilikuwa kwenye viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kutekeleza majukumu yangu ya kikazi. Nilikuwa nimeambatana na Profesa mmoja wa UDSM (jina kapuni) ambaye alikuwa mteja wangu na shahidi yangu siku hiyo mahakamani hapo kwenye shauri lililonipeleka.
Mimi na Profesa tukiwa tunaingia mlango wa Mahakama husika (mlango mkuu), gari ndogo ya Magereza ya pickup ilikuwa ikirudi nyuma kutoka Mahakamani hapo. Ndani ya gari hiyo kulikuwa na Washtakiwa/Mahabusu wawili walioketishwa chini kwenye gari hilo kwa nyuma. Mmojawapo alikuwa Mzee Harry Kitilya, Kamishna Jenerali wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania aka TRA.
Ilikuwa ni kama tunapishana na gari hilo. Mzee Kitilya alipomuona Profesa anayefahamiana naye (akijitahidi kuchangamka na kusahau kwa muda maswahibu yake) alimwita Profesa kwa jina na kumsalimu. Akajitahidi kumfahamisha na mwenzake kuwa yule ni Profesa na ni rafikiye. Hakujali hata askari wa Magereza waliokuwa wamewasimamia kiulinzi. Kwa bahati njema,dereva alisimama kwa muda 'kuruhusu' salamu hiyo.
Baada ya salamu, Profesa akamwambia Mzee Kitilya: Pole. Akionekana kusawajika, kutamani kuwa nje ya gari ile huru kama mwanzoni na mwenyewe kujiamulia cha kufanya na kusema, Mzee Kitilya akajibu: Asante Profesa, tupo! Gari ikamalizia kona na kuondoka.
Mzee Harry Kitilya alikuwa Mkuu wa TRA iliyokusanya kodi nyingi nchini zilizojenga na kulipia mambo mbalimbali ya kiserikali. Alikuwa Mkuu wa wakusanya mapato ya Serikali na alifanya aliloliweza. Alikuwa akiheshimiwa na wadogo kwa wakubwa wa nchi hii na wakati mwingine kuogopwa. Leo yuko kwenye hali ile.
Ikiwa mti mbichi unatendwa vile, itakuwaje kwa miti mikavu? Nawasihi viongozi mbalimbali waweke akiba ya maneno na matendo yao. Maisha hayana formula!
No mimi ni mpenda haki, napenda kuona watu wakitendewa haki.Ulishaonja mgawo wa JR na wewe!
Ova
Mama ako mbona ni mchagaTangu nimekuoa numeona katika mafisadi 10 lazima 6wawe wachaga na ukumbuke wachaga ni kabila dogo tu wangekuwa kama waha au wasukuma nchi hii ingeisha
si nilisikia ushahidi ulikuwa utoke nje ya nchi? kwenye hayo ma transaction? na si aliachiwa na kufunguliwa upya charges zikaongezeka kufikia 59 hivi karibuni?Mkuu Wakili Msomi, Petro E. Mselewa, nimeguswa na hili. Kuna mtu huwa nakwenda kumtembelea, kwenye remand hiyo, ndiyo alipo Kitilya, Sioi, Dr. Tenga, Noni, Malinzi, Kaburu, etc, huu ni mwaka wa tatu!, kwenye banking transactions every move has a trail, uchunguzi gani huu?. Akikutwa hana hatia, what will it be?.
Mimi ni muumini wa absolute justice ni kupitia karma pekee!. Karma itawalipia wote kwa matendo yao na kama wameonewa pia ni karma ndio itawafidia, na kuwalipa waonevu kwa malipo stahiki ya uonevu wao!, think of mtu kama JR, he did legit business kwa kuuza shares zake, akalipa kodi zote, akaamua kugawa fedha zake kwa yoyote, na hakuna kosa lolote kisheria kugawa pesa zako halali kwa yeyote kwa sababu yoyote au bila sababu yoyote!.
Mungu yupo, na karma ipo!.
P.
Bora hata huyo Profesa kaongea naye Mzee Kitilya.Kwanza, nawasalimu waungwana wote wa Jamiiforums. Pili, nakiri kuwa jambo ninalotaka kuliandika hapa limetokea juma linaloisha (Alhamisi). Nimechelewa kuandika hapa kwakuwa nilijipa nafasi ya kutafakari vya kutosha. Nimejifunza jambo kubwa kwenye maisha yangu.