'Tukio' la Mzee Harry Kitilya limenifikirisha sana. Wenye nafasi za kiuongozi kuweni makini!

kuna wakat natafakari, mtanzania unalipwa mshahara milion 40, unapewa nyymba, gari na kila kitu lakin bado unaiba? Why? Kuna watu wanalipwa laki mbili tu....

Uzalendo ni muhimu unapopewa nafas ya kuutumikia umma na kusimamia rasilimali za taifa
Tamaa nyingi mbele giza
 
Kwanza, nawasalimu waungwana wote wa Jamiiforums. Pili, nakiri kuwa jambo ninalotaka kuliandika hapa limetokea juma linaloisha (Alhamisi). Nimechelewa kuandika hapa kwakuwa nilijipa nafasi ya kutafakari vya kutosha. Nimejifunza jambo kubwa kwenye maisha yangu.

Alhamisi ya tarehe 11 mwezi huu majira ya saa mbili na robo asubuhi nilikuwa kwenye viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kutekeleza majukumu yangu ya kikazi. Nilikuwa nimeambatana na Profesa mmoja wa UDSM (jina kapuni) ambaye alikuwa mteja wangu na shahidi yangu siku hiyo mahakamani hapo kwenye shauri lililonipeleka.

Mimi na Profesa tukiwa tunaingia mlango wa Mahakama husika (mlango mkuu), gari ndogo ya Magereza ya pickup ilikuwa ikirudi nyuma kutoka Mahakamani hapo. Ndani ya gari hiyo kulikuwa na Washtakiwa/Mahabusu wawili walioketishwa chini kwenye gari hilo kwa nyuma. Mmojawapo alikuwa Mzee Harry Kitilya, Kamishna Jenerali wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania aka TRA.

Ilikuwa ni kama tunapishana na gari hilo. Mzee Kitilya alipomuona Profesa anayefahamiana naye (akijitahidi kuchangamka na kusahau kwa muda maswahibu yake) alimwita Profesa kwa jina na kumsalimu. Akajitahidi kumfahamisha na mwenzake kuwa yule ni Profesa na ni rafikiye. Hakujali hata askari wa Magereza waliokuwa wamewasimamia kiulinzi. Kwa bahati njema,dereva alisimama kwa muda 'kuruhusu' salamu hiyo.

Baada ya salamu, Profesa akamwambia Mzee Kitilya: Pole. Akionekana kusawajika, kutamani kuwa nje ya gari ile huru kama mwanzoni na mwenyewe kujiamulia cha kufanya na kusema, Mzee Kitilya akajibu: Asante Profesa, tupo! Gari ikamalizia kona na kuondoka.

Mzee Harry Kitilya alikuwa Mkuu wa TRA iliyokusanya kodi nyingi nchini zilizojenga na kulipia mambo mbalimbali ya kiserikali. Alikuwa Mkuu wa wakusanya mapato ya Serikali na alifanya aliloliweza. Alikuwa akiheshimiwa na wadogo kwa wakubwa wa nchi hii na wakati mwingine kuogopwa. Leo yuko kwenye hali ile.

Ikiwa mti mbichi unatendwa vile, itakuwaje kwa miti mikavu? Nawasihi viongozi mbalimbali waweke akiba ya maneno na matendo yao. Maisha hayana formula!
Bado Magufuli na mwanae Bashite, waliyokwishakuyatenda yanatosha!
 
Kama aliiba hayo makusanyo yake basi yana maana gani? Acha avune alichopanda
 
Mzee Harry Kitilya alikuwa Mkuu wa TRA iliyokusanya kodi nyingi nchini zilizojenga na kulipia mambo mbalimbali ya kiserikali. Alikuwa Mkuu wa wakusanya mapato ya Serikali na alifanya aliloliweza. Alikuwa akiheshimiwa na wadogo kwa wakubwa wa nchi hii na wakati mwingine kuogopwa. Leo yuko kwenye hali ile.
Mkuu Wakili Msomi, Petro E. Mselewa, "justice delayed is justice denied", nimeguswa na hili. Kuna mtu huwa nakwenda kumtembelea, kwenye remand hiyo, ndiyo alipo Kitilya, Sioi, Dr. Tenga, Noni, Malinzi, Kaburu, etc, huu ni mwaka wa tatu!, kwenye banking transactions every move has a trail, uchunguzi gani huu?. Akikutwa hana hatia, what will it be?.
Mimi ni muumini wa absolute justice ni kupitia karma pekee!. Karma itawalipia wote kwa matendo yao na kama wameonewa pia ni karma ndio itawafidia, na kuwalipa waonevu kwa malipo stahiki ya uonevu wao!, think of mtu kama JR, he did legit business kwa kuuza shares zake, akalipa kodi zote, akaamua kugawa fedha zake kwa yoyote, na hakuna kosa lolote kisheria kugawa pesa zako halali kwa yeyote kwa sababu yoyote au bila sababu yoyote!.
Mungu yupo, na karma ipo!.
P.
 
Kwanza, nawasalimu waungwana wote wa Jamiiforums. Pili, nakiri kuwa jambo ninalotaka kuliandika hapa limetokea juma linaloisha (Alhamisi). Nimechelewa kuandika hapa kwakuwa nilijipa nafasi ya kutafakari vya kutosha. Nimejifunza jambo kubwa kwenye maisha yangu.

Alhamisi ya tarehe 11 mwezi huu majira ya saa mbili na robo asubuhi nilikuwa kwenye viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kutekeleza majukumu yangu ya kikazi. Nilikuwa nimeambatana na Profesa mmoja wa UDSM (jina kapuni) ambaye alikuwa mteja wangu na shahidi yangu siku hiyo mahakamani hapo kwenye shauri lililonipeleka.

Mimi na Profesa tukiwa tunaingia mlango wa Mahakama husika (mlango mkuu), gari ndogo ya Magereza ya pickup ilikuwa ikirudi nyuma kutoka Mahakamani hapo. Ndani ya gari hiyo kulikuwa na Washtakiwa/Mahabusu wawili walioketishwa chini kwenye gari hilo kwa nyuma. Mmojawapo alikuwa Mzee Harry Kitilya, Kamishna Jenerali wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania aka TRA.

Ilikuwa ni kama tunapishana na gari hilo. Mzee Kitilya alipomuona Profesa anayefahamiana naye (akijitahidi kuchangamka na kusahau kwa muda maswahibu yake) alimwita Profesa kwa jina na kumsalimu. Akajitahidi kumfahamisha na mwenzake kuwa yule ni Profesa na ni rafikiye. Hakujali hata askari wa Magereza waliokuwa wamewasimamia kiulinzi. Kwa bahati njema,dereva alisimama kwa muda 'kuruhusu' salamu hiyo.

Baada ya salamu, Profesa akamwambia Mzee Kitilya: Pole. Akionekana kusawajika, kutamani kuwa nje ya gari ile huru kama mwanzoni na mwenyewe kujiamulia cha kufanya na kusema, Mzee Kitilya akajibu: Asante Profesa, tupo! Gari ikamalizia kona na kuondoka.

Mzee Harry Kitilya alikuwa Mkuu wa TRA iliyokusanya kodi nyingi nchini zilizojenga na kulipia mambo mbalimbali ya kiserikali. Alikuwa Mkuu wa wakusanya mapato ya Serikali na alifanya aliloliweza. Alikuwa akiheshimiwa na wadogo kwa wakubwa wa nchi hii na wakati mwingine kuogopwa. Leo yuko kwenye hali ile.

Ikiwa mti mbichi unatendwa vile, itakuwaje kwa miti mikavu? Nawasihi viongozi mbalimbali waweke akiba ya maneno na matendo yao. Maisha hayana formula!
Hapo ndipo ule usemi wa Wahenga unapofanya kazi! " cheo ni dhamana"
 
Mkuu Wakili Msomi, Petro E. Mselewa, nimeguswa na hili. Kuna mtu huwa nakwenda kumtembelea, kwenye remand hiyo, ndiyo alipo Kitilya, Sioi, Dr. Tenga, Noni, Malinzi, Kaburu, etc, huu ni mwaka wa tatu!, kwenye banking transactions every move has a trail, uchunguzi gani huu?. Akikutwa hana hatia, what will it be?.
Mimi ni muumini wa absolute justice ni kupitia karma pekee!. Karma itawalipia wote kwa matendo yao na kama wameonewa pia ni karma ndio itawafidia, na kuwalipa waonevu kwa malipo stahiki ya uonevu wao!, think of mtu kama JR, he did legit business kwa kuuza shares zake, akalipa kodi zote, akaamua kugawa fedha zake kwa yoyote, na hakuna kosa lolote kisheria kugawa pesa zako halali kwa yeyote kwa sababu yoyote au bila sababu yoyote!.
Mungu yupo, na karma ipo!.
P.
Ulishaonja mgawo wa JR na wewe!

Ova
 
Hoja yako Petro inafikirisha,kwa maana nyingine katika maisha kuna kupanda na kushuka,kuna mapito mengi na kwamba kabla hujafa hujaumbika
 
huyu mzee anavuna alichopanda,kuna jamaa angu amekuwa maskini kwa sababu ya 10% aliyochukuwa huyu mzee Kitlya
https://www.jamiiforums.com/threads/vi-mkapa-vidogo-vidogo.9826/ Tena ingewezekana afyekelewe mbali
 
Mkuu Wakili Msomi, Petro E. Mselewa, nimeguswa na hili. Kuna mtu huwa nakwenda kumtembelea, kwenye remand hiyo, ndiyo alipo Kitilya, Sioi, Dr. Tenga, Noni, Malinzi, Kaburu, etc, huu ni mwaka wa tatu!, kwenye banking transactions every move has a trail, uchunguzi gani huu?. Akikutwa hana hatia, what will it be?.
Mimi ni muumini wa absolute justice ni kupitia karma pekee!. Karma itawalipia wote kwa matendo yao na kama wameonewa pia ni karma ndio itawafidia, na kuwalipa waonevu kwa malipo stahiki ya uonevu wao!, think of mtu kama JR, he did legit business kwa kuuza shares zake, akalipa kodi zote, akaamua kugawa fedha zake kwa yoyote, na hakuna kosa lolote kisheria kugawa pesa zako halali kwa yeyote kwa sababu yoyote au bila sababu yoyote!.
Mungu yupo, na karma ipo!.
P.
si nilisikia ushahidi ulikuwa utoke nje ya nchi? kwenye hayo ma transaction? na si aliachiwa na kufunguliwa upya charges zikaongezeka kufikia 59 hivi karibuni?
 
Kwanza, nawasalimu waungwana wote wa Jamiiforums. Pili, nakiri kuwa jambo ninalotaka kuliandika hapa limetokea juma linaloisha (Alhamisi). Nimechelewa kuandika hapa kwakuwa nilijipa nafasi ya kutafakari vya kutosha. Nimejifunza jambo kubwa kwenye maisha yangu.

Alhamisi ya tarehe 11 mwezi huu majira ya saa mbili na robo asubuhi nilikuwa kwenye viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kutekeleza majukumu yangu ya kikazi. Nilikuwa nimeambatana na Profesa mmoja wa UDSM (jina kapuni) ambaye alikuwa mteja wangu na shahidi yangu siku hiyo mahakamani hapo kwenye shauri lililonipeleka.

Mimi na Profesa tukiwa tunaingia mlango wa Mahakama husika (mlango mkuu), gari ndogo ya Magereza ya pickup ilikuwa ikirudi nyuma kutoka Mahakamani hapo. Ndani ya gari hiyo kulikuwa na Washtakiwa/Mahabusu wawili walioketishwa chini kwenye gari hilo kwa nyuma. Mmojawapo alikuwa Mzee Harry Kitilya, Kamishna Jenerali wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania aka TRA.

Ilikuwa ni kama tunapishana na gari hilo. Mzee Kitilya alipomuona Profesa anayefahamiana naye (akijitahidi kuchangamka na kusahau kwa muda maswahibu yake) alimwita Profesa kwa jina na kumsalimu. Akajitahidi kumfahamisha na mwenzake kuwa yule ni Profesa na ni rafikiye. Hakujali hata askari wa Magereza waliokuwa wamewasimamia kiulinzi. Kwa bahati njema,dereva alisimama kwa muda 'kuruhusu' salamu hiyo.

Baada ya salamu, Profesa akamwambia Mzee Kitilya: Pole. Akionekana kusawajika, kutamani kuwa nje ya gari ile huru kama mwanzoni na mwenyewe kujiamulia cha kufanya na kusema, Mzee Kitilya akajibu: Asante Profesa, tupo! Gari ikamalizia kona na kuondoka.

Mzee Harry Kitilya alikuwa Mkuu wa TRA iliyokusanya kodi nyingi nchini zilizojenga na kulipia mambo mbalimbali ya kiserikali. Alikuwa Mkuu wa wakusanya mapato ya Serikali na alifanya aliloliweza. Alikuwa akiheshimiwa na wadogo kwa wakubwa wa nchi hii na wakati mwingine kuogopwa. Leo yuko kwenye hali ile.

Ikiwa mti mbichi unatendwa vile, itakuwaje kwa miti mikavu? Nawasihi viongozi mbalimbali waweke akiba ya maneno na matendo yao. Maisha hayana formula!
Bora hata huyo Profesa kaongea naye Mzee Kitilya.

Kuna watu wakikuona una matatizo hivyo wanakukaushia kama hawakujui, wanaogopa hata kuongea nawe wataonekana wana urafiki nawe na wao wanaweza kuchunguzwa.

Nilishuhudia kaka wawili wa familia moja wanabishana. Baba yao alikuwa na urafiki fulani na Mzee Rugemalira. Baba akasema Mzee Rugemalira anapata tabu sana gerezani, kwa kuwa ni mtu aliyewahi kumfahamu katika biashara zake awali, angependa kwenda kumuona mahabusu na kumfariji.

Wale vijana wawili wakawa wanabishana. Mmoja akisema kwamba kumtembelea Rugemalira italeta picha mbaya na Baba yao anaweza kusakamwa na serikali, kijana mwingine akasema serikali haina haki ya kumsakama Baba yao kwa kuwa hana hatia, na kama anataka kwenda kumtembelea Rugemalira, hilo ni jambo la ridhaa kwake.

Nimesahau kumuuliza yule Mzee kama alimtembelea Rigemalila mahabusu au hakumtembelea.
 
Back
Top Bottom