Tukio la Mwijaku, serikali Imenajisiwa

Tukio la Mwijaku, serikali Imenajisiwa

Kwa mujibu wa matakwa ya CCM yani hapo ndio Mwijaku kavuka vyema initiation ceremony. Atapewa vyeo sasa.

CCM inabeba kila aina ya uchafu, ukijua hasa kinachofanywa nyuma ya mapazia utajiuliza mara mbili mbili kama hao wafanyaji ndio washika nyadhifa serikalini.
Atakaribishwa tena bungeni
Ccm Inawalea hawa mabint wa chuo watazid kugongw sana tu

Ovs
 
Hivi karibuni Mwijaku kalizua baada ya video kusambaa ikionyesha watoto wa chuo wakimgombania.
Kwenye malumbano Yao inaonekana mara mwisho Mwijaku alizini na mmoja kati Yao mwanzoni mwa mwezi huu ikiwa ni ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani na mfungo kwaresma pia.

Ikumbukwe ana mke na familia.

Stadi zinaonyesha Kuwa akili au tabia za rafiki zako watano ni akili zako pia.
Yani huna tofauti sana na rafiki zako watano.
Na mwijaku kama tujuavyo ni kipenzi Cha viongozi wakuu wa Serikali pamoja na chama tawala.

Kitendo cha viongozi Wa Serikali kukumbatia watu kama kina Mwijaku kinanipa wasiwasi sana na akili zinazotuongoza.

Viongozi wetu mkumbuke mmeapa kulinda Mila na desturi kwenye Taifa hili hivyo mnahitaji jicho la ziada kuona jinsi gani Serikali INAVYONAJISIWA na na hawa wanaojiita Wasanii au wahamasishaji kwa Kuwa wao ni kioo Cha jamii.
Kunjunja ni zambi au
 
Mwijaku ni kichaa kama wanachama wa CCM wengine. Sasa niambie tofauti yake na Mwigulu Nchemba ni nini? Wote ni comedians tu.
 
Mwijaku ni mpuuzi sana ,jitu zima linaenda kuharibu future ya vitoto vya chuo...waache wasome ,huyo mpuuzi inabidi ashikishwe adabu ,afungwe hata miaka miwili kwa ubakaji.

yani yeye ndio kaharibu future yao? watoto wa vyuo ni malaya sana, kumsukumizia mzigo Mwajiku ni kumuonea tu
 
yani yeye ndio kaharibu future yao? watoto wa vyuo ni malaya sana, kumsukumizia mzigo Mwajiku ni kumuonea tu

Hata Mwijaku ni malaya pia, na yeye aliwasukumia makende
 
mkuu wewe ni mwanamme kweli? sasa mwanmme kuwa ni mchepuko tatizo liko wapi?
Sawa ,, ila Siku Binti yako akifanyiwa hovyo uwe mvumilivu....

Wewe endelea kutetea
 
Hivi karibuni Mwijaku kalizua baada ya video kusambaa ikionyesha watoto wa chuo wakimgombania.
Kwenye malumbano Yao inaonekana mara mwisho Mwijaku alizini na mmoja kati Yao mwanzoni mwa mwezi huu ikiwa ni ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani na mfungo kwaresma pia.

Ikumbukwe ana mke na familia.

Stadi zinaonyesha Kuwa akili au tabia za rafiki zako watano ni akili zako pia.
Yani huna tofauti sana na rafiki zako watano.
Na mwijaku kama tujuavyo ni kipenzi Cha viongozi wakuu wa Serikali pamoja na chama tawala.

Kitendo cha viongozi Wa Serikali kukumbatia watu kama kina Mwijaku kinanipa wasiwasi sana na akili zinazotuongoza.

Viongozi wetu mkumbuke mmeapa kulinda Mila na desturi kwenye Taifa hili hivyo mnahitaji jicho la ziada kuona jinsi gani Serikali INAVYONAJISIWA na na hawa wanaojiita Wasanii au wahamasishaji kwa Kuwa wao ni kioo Cha jamii.
Umasahau kama nchi inaogozwa na wezi wa kura na kodi za umaa. Hao marafiki zake ni wach afu kuliko mwijaku halafu unawataka wakemee uchafu wa mwezao. Yaani unataka jambazi akemee mwizi pikipiki
 
Back
Top Bottom