Tukio la Mwijaku, serikali Imenajisiwa

Tukio la Mwijaku, serikali Imenajisiwa

MNEKI

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
992
Reaction score
1,310
Hivi karibuni Mwijaku kalizua baada ya video kusambaa ikionyesha watoto wa chuo wakimgombania.
Kwenye malumbano Yao inaonekana mara mwisho Mwijaku alizini na mmoja kati Yao mwanzoni mwa mwezi huu ikiwa ni ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani na mfungo kwaresma pia.

Ikumbukwe ana mke na familia.

Stadi zinaonyesha Kuwa akili au tabia za rafiki zako watano ni akili zako pia.
Yani huna tofauti sana na rafiki zako watano.
Na mwijaku kama tujuavyo ni kipenzi Cha viongozi wakuu wa Serikali pamoja na chama tawala.

Kitendo cha viongozi Wa Serikali kukumbatia watu kama kina Mwijaku kinanipa wasiwasi sana na akili zinazotuongoza.

Viongozi wetu mkumbuke mmeapa kulinda Mila na desturi kwenye Taifa hili hivyo mnahitaji jicho la ziada kuona jinsi gani Serikali INAVYONAJISIWA na na hawa wanaojiita Wasanii au wahamasishaji kwa Kuwa wao ni kioo Cha jamii.
 
Hivi karibu Mwijaku kalizua baada ya video kusambaa ikionyesha watoto wa chuo wakimgombania.
Kwenye malumbano Yao inaonekana mara mwisho Mwijaku alizini na mmoja kati Yao mwanzoni mwa mwezi huu ikiwa ni ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani...
Ikumbukwe ana mke na familia.

Stadi zinaonyesha Kuwa akili au tabia za rafiki zako watano ni akili zako pia.
Yani huna tofauti sana na rafiki zako watano.
Na mwijaku kama tujuavyo ni kipenzi Cha viongozi wakuu wa Serikali pamoja na chama tawala.

Kitendo cha viongozi Wa Serikali kukumbatia watu kama kina Mwijaku kinanipa wasiwasi sana na akili zinazotuongoza.

Viongozi wetu mkumbuke mmeapa kulinda Mila na desturi kwenye Taifa hili hivyo mnahitaji jicho la ziada kuona jinsi gani Serikali INAVYONAJISIWA na na hawa wanaojiita Wasanii au wahamasishaji kwa Kuwa wao ni kioo Cha jamii.
Na sio mara ya kwanza, nakumnuka kuna issue ya Mdada fulani pia alihusishwa.

Ni aibu kubwa zaidi kwa Taasisi ambazo zinampa kazi kama Balozi wao.
 
Kwa mujibu wa matakwa ya CCM yani hapo ndio Mwijaku kavuka vyema initiation ceremony. Atapewa vyeo sasa.

CCM inabeba kila aina ya uchafu, ukijua hasa kinachofanywa nyuma ya mapazia utajiuliza mara mbili mbili kama hao wafanyaji ndio washika nyadhifa serikalini.
 
Hii ni balaa kwa kweli.
Kazi ipo
 
Hivi karibu Mwijaku kalizua baada ya video kusambaa ikionyesha watoto wa chuo wakimgombania.
Kwenye malumbano Yao inaonekana mara mwisho Mwijaku alizini na mmoja kati Yao mwanzoni mwa mwezi huu ikiwa ni ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani

Ikumbukwe ana mke na familia.

Stadi zinaonyesha Kuwa akili au tabia za rafiki zako watano ni akili zako pia.
Yani huna tofauti sana na rafiki zako watano.
Na mwijaku kama tujuavyo ni kipenzi Cha viongozi wakuu wa Serikali pamoja na chama tawala.

Kitendo cha viongozi Wa Serikali kukumbatia watu kama kina Mwijaku kinanipa wasiwasi sana na akili zinazotuongoza.

Viongozi wetu mkumbuke mmeapa kulinda Mila na desturi kwenye Taifa hili hivyo mnahitaji jicho la ziada kuona jinsi gani Serikali INAVYONAJISIWA na na hawa wanaojiita Wasanii au wahamasishaji kwa Kuwa wao ni kioo Cha jamii.
Acha kiherehere, huyo Mwijaku ndio nani, majina yake anaitwa nani, hakuna mtu anaitwa kwa jina moja, tutajie angalau majina yake matatu na ana nafasi gani serikalini mpk ainajisi serikali. Mtaokoteza kila takataka ila hamwezi kuichafua serikali ya mama yetu Samia. Mwisho wa huu upumbavu wenu Oktoba.
 
Ushauri wangu kwa serikali ni kumfungia Mwijaku na kumpiga marufuku kufanya kazi za utangazaji, angalao hata miaka 3 ili ajifunze na kuwa na maadili. Kwa ujumla hana heshima wala maadili na anachangia sana kuwaharibu vijana wadogo kutukuwa na maadili. Muda mwingi ni mtu wa mizaha huwezi jua kama ana mental health, anaigiza au yuko serious.
 
Bado yule mwingine kurwa magari
 
Acha kiherehere, huyo Mwijaku ndio nani, majina yake anaitwa nani, hakuna mtu anaitwa kwa jina moja, tutajie angalau majina yake matatu na ana nafasi gani serikalini mpk ainajisi serikali. Mtaokoteza kila takataka ila hamwezi kuichafua serikali ya mama yetu Samia. Mwisho wa huu upumbavu wenu Oktoba.
 
mkuu wewe ni mwanamme kweli? sasa mwanmme kuwa ni mchepuko tatizo liko wapi?
 
Na sio mara ya kwanza, nakumnuka kuna issue ya Mdada fulani pia alihusishwa.

Ni aibu kubwa zaidi kwa Taasisi ambazo zinampa kazi kama Balozi wao.ha

Na sio mara ya kwanza, nakumnuka kuna issue ya Mdada fulani pia alihusishwa.

Ni aibu kubwa zaidi kwa Taasisi ambazo zinampa kazi kama Balozi wao.
Aibu sana kwa kweli
 
Mwanaume yeyote lazima atakuwa na mwanamke nje
Waswahili wanafki sana. Wanaona alichofanya mwenzao ni ajabu wakati majority ni walewale.
Vile tu mwenzao yamemkuta
 
Back
Top Bottom