Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,597
- 5,788
Kuna skuli nilikuwa nafundisha baada ya kumaliza form six. Nilikuwa nafundisha Physics&Mathematics. Nilikuwa mwl mdogo kuliko wote pale shule. Pia nilikuwa karibu sana na wanafunzi. Mabinti walinipenda sana, nami niliwapokea na kuwapa ushauri kama wadogo zangu.
The way nilivyokuwa nawachukulia, walihisi nimesha fall in love, kila mmoja akawa anatangaza kivyake, si mabinti wote, ila mabinti wengi wa kidato cha pili na cha tatu walinizoea sana. Wapo waliodiriki hata kuniletea vizawadi, kama miwa na matunda, kwakuwa nilikuwa nakaa mwenyewe nyumba za shule nilizipokea.
Kuna siku wanafunzi wawili wa kidato cha pili walipigana, kisa mwl Mzee,... Kesho yake wazazi wakaja shule kutatua matatizo ya watoto wao.
Lilikuwa bonge la aibu kuanzia shule na hata mtaani. Sintolisahau.
Wewe Mwana Jf mwenzangu tukio gani la aibu hautolisahau?