Tukio la aibu! Sintolisahau!

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,585
5,758
Kuna skuli nilikuwa nafundisha baada ya kumaliza form six. Nilikuwa nafundisha Physics&Mathematics. Nilikuwa mwl mdogo kuliko wote pale shule. Pia nilikuwa karibu sana na wanafunzi. Mabinti walinipenda sana, nami niliwapokea na kuwapa ushauri kama wadogo zangu.

The way nilivyokuwa nawachukulia, walihisi nimesha fall in love, kila mmoja akawa anatangaza kivyake, si mabinti wote, ila mabinti wengi wa kidato cha pili na cha tatu walinizoea sana. Wapo waliodiriki hata kuniletea vizawadi, kama miwa na matunda, kwakuwa nilikuwa nakaa mwenyewe nyumba za shule nilizipokea.

Kuna siku wanafunzi wawili wa kidato cha pili walipigana, kisa mwl Mzee,... Kesho yake wazazi wakaja shule kutatua matatizo ya watoto wao.
Lilikuwa bonge la aibu kuanzia shule na hata mtaani. Sintolisahau.

Wewe Mwana Jf mwenzangu tukio gani la aibu hautolisahau?

Yalinikuta kama yako kabisa... Mabinti wa 4m 2 na 4m 3 tabu sana kuwafundisha,

Kuna skuli nilikuwa nafundisha baada ya kumaliza form six. Nilikuwa nafundisha Physics&Mathematics. Nilikuwa mwl mdogo kuliko wote pale shule. Pia nilikuwa karibu sana na wanafunzi. Mabinti walinipenda sana, nami niliwapokea na kuwapa ushauri kama wadogo zangu.

The way nilivyokuwa nawachukulia, walihisi nimesha fall in love, kila mmoja akawa anatangaza kivyake, si mabinti wote, ila mabinti wengi wa kidato cha pili na cha tatu walinizoea sana. Wapo waliodiriki hata kuniletea vizawadi, kama miwa na matunda, kwakuwa nilikuwa nakaa mwenyewe nyumba za shule nilizipokea.

Kuna siku wanafunzi wawili wa kidato cha pili walipigana, kisa mwl Ibwe,... Kesho yake wazazi wakaja shule kutatua matatizo ya watoto wao.
Lilikuwa bonge la aibu kuanzia shule na hata mtaani. Sintolisahau.
Wewe Mwana Jf mwenzangu tukio gani la aibu hautolisahau?

Sintosahau kuna siku walikuja kwangu kwa mara ya kwanza mama mkwe,Shemeji zangu 2 na shangazi yake wife,Basi baada ya maongezi ya siku nzima waliaga kwa kuwa wanarudi walikofikia nyumbani kwa mjomba wa mke wangu! Mzee niliamua kuwasindikiza nikiwa nimepiga kanzu, pamoja nami kulikuwa na mama mzazi na wadogo zangu wawili ambao tuliungana kuwasindikiza wageni.

Baada ya kufika kituo cha daladala niliamua kuwachukulia taxi badala ya daladala niliwaomba wanisubiri kidogo mzee kimya kimya nilienda kuelewana na dereva taxi ng'ambo ya pili ya barabara alikubali kuwapeleka kwa Tsh 15,000/- Fasta nikaja kuwashtua wapande, wakati wanaanza kupanda niliona muda muafaka wa kumalizana na dereva!

Mzee ile kuzama kwenye kanzu kumbe mfuko umetoboka pesa hakuna, natizama pensi ya ndani nikaibuka na pesa pungufu 14,000/- ndugu niliokuwa nao wote hawana hata sentano! Du mwanaume nikamvaa fasta dereva dirishani nikamnong'oneza kuwa nimedondosha pesa na pesa iliyobaki ipo pungufu, bahati nzuri alikuwa muelewana akapokea la sivyo angeanza kubisha ingekuwa balaa mzee sikuta hata kujua kama wamenishtukia au vipi taratibu nilirudi home ilikuwa soo!

Sintosahau kuna siku walikuja kwangu kwa mara ya kwanza mama mkwe,Shemeji zangu 2 na shangazi yake wife,Basi baada ya maongezi ya siku nzima waliaga kwa kuwa wanarudi walikofikia nyumbani kwa mjomba wa mke wangu! Mzee niliamua kuwasindikiza nikiwa nimepiga kanzu, pamoja nami kulikuwa na mama mzazi na wadogo zangu wawili ambao tuliungana kuwasindikiza wageni.Baada ya kufika kituo cha daladala niliamua kuwachukulia taxi badala ya daladala niliwaomba wanisubiri kidogo mzee kimya kimya nilienda kuelewana na dereva taxi ng'ambo ya pili ya barabara alikubali kuwapeleka kwa Tsh 15,000/- Fasta nikaja kuwashtua wapande, wakati wanaanza kupanda niliona muda muafaka wa kumalizana na dereva! Mzee ile kuzama kwenye kanzu kumbe mfuko umetoboka pesa hakuna, natizama pensi ya ndani nikaibuka na pesa pungufu 14,000/- ndugu niliokuwa nao wote hawana hata sentano! Du mwanaume nikamvaa fasta dereva dirishani nikamnong'oneza kuwa nimedondosha pesa na pesa iliyobaki ipo pungufu, bahati nzuri alikuwa muelewana akapokea la sivyo angeanza kubisha ingekuwa balaa mzee sikuta hata kujua kama wamenishtukia au vipi taratibu nilirudi home ilikuwa soo!

Sintosahau kuna siku walikuja kwangu kwa mara ya kwanza mama mkwe,Shemeji zangu 2 na shangazi yake wife,Basi baada ya maongezi ya siku nzima waliaga kwa kuwa wanarudi walikofikia nyumbani kwa mjomba wa mke wangu!

Mzee niliamua kuwasindikiza nikiwa nimepiga kanzu, pamoja nami kulikuwa na mama mzazi na wadogo zangu wawili ambao tuliungana kuwasindikiza wageni.Baada ya kufika kituo cha daladala niliamua kuwachukulia taxi badala ya daladala niliwaomba wanisubiri kidogo mzee kimya kimya nilienda kuelewana na dereva taxi ng'ambo ya pili ya barabara alikubali kuwapeleka kwa Tsh 15,000/-

Fasta nikaja kuwashtua wapande, wakati wanaanza kupanda niliona muda muafaka wa kumalizana na dereva! Mzee ile kuzama kwenye kanzu kumbe mfuko umetoboka pesa hakuna, natizama pensi ya ndani nikaibuka na pesa pungufu 14,000/- ndugu niliokuwa nao wote hawana hata sentano!

Du mwanaume nikamvaa fasta dereva dirishani nikamnong'oneza kuwa nimedondosha pesa na pesa iliyobaki ipo pungufu, bahati nzuri alikuwa muelewana akapokea la sivyo angeanza kubisha ingekuwa balaa mzee sikuta hata kujua kama wamenishtukia au vipi taratibu nilirudi home ilikuwa soo!

Du almanusura disco lingeingia mmasai

Kuna skuli nilikuwa nafundisha baada ya kumaliza form six. Nilikuwa nafundisha Physics&Mathematics. Nilikuwa mwl mdogo kuliko wote pale shule. Pia nilikuwa karibu sana na wanafunzi. Mabinti walinipenda sana, nami niliwapokea na kuwapa ushauri kama wadogo zangu.
The way nilivyokuwa nawachukulia, walihisi nimesha fall in love, kila mmoja akawa anatangaza kivyake, si mabinti wote, ila mabinti wengi wa kidato cha pili na cha tatu walinizoea sana. Wapo waliodiriki hata kuniletea vizawadi, kama miwa na matunda, kwakuwa nilikuwa nakaa mwenyewe nyumba za shule nilizipokea.
Kuna siku wanafunzi wawili wa kidato cha pili walipigana, kisa mwl Ibwe,... Kesho yake wazazi wakaja shule kutatua matatizo ya watoto wao.
Lilikuwa bonge la aibu kuanzia shule na hata mtaani. Sintolisahau.
Wewe Mwana Jf mwenzangu tukio gani la aibu hautolisahau?
kuna uwalakini hapa..............sidhani ka hadi unaondoka hapo shuleni kuna mtto alinusurika

Mi nilimpa mimba mwalimu mkuu wa shule niliyokuwa ninasoma. Mimba ilipofikisha miezi nane na nusu mwalimu mkuu akawa anawaaga wanafunzi na walimu. Hapo akanitambulisha rasmi kuwa mimi ndiye niliyemtundika kibendi, nikawa mdogo ile mbaya, hadi leo nataniwa, kuanzia mwaka 1991 nlipokuwa nasoma Majengo Juu Mbeya

Mkuu,ina maana ulimpa mimba mwalimu wako wakati upo primary? hebu iweke vizuri hii kitu.

Mi nilimpa mimba mwalimu mkuu wa shule niliyokuwa ninasoma. Mimba ilipofikisha miezi nane na nusu mwalimu mkuu akawa anawaaga wanafunzi na walimu. Hapo akanitambulisha rasmi kuwa mimi ndiye niliyemtundika kibendi, nikawa mdogo ile mbaya, hadi leo nataniwa, kuanzia mwaka 1991 nlipokuwa nasoma Majengo Juu Mbeya
Ama kweli hii ndo JF jokes!!!
mkuu kumbe we ******!!!

Mi nilimpa mimba mwalimu mkuu wa shule niliyokuwa ninasoma. Mimba ilipofikisha miezi nane na nusu mwalimu mkuu akawa anawaaga wanafunzi na walimu. Hapo akanitambulisha rasmi kuwa mimi ndiye niliyemtundika kibendi, nikawa mdogo ile mbaya, hadi leo nataniwa, kuanzia mwaka 1991 nlipokuwa nasoma Majengo Juu Mbeya

Duh imekaa vibaya!!!!! Is it primary or secondary school?

Tulikuwa kwenye management meeting, MD wetu ni mama, sasa ghafla akapiga chafya na kuanza kukohoa, bahati mbaya akajamba kwa sauti ambayo ilisikika na wote, mzee yaani kama dakika mbili tatu zilipotea kila mtu kachanganyikiwa, sitasahu ile issue , yaani mama aliishiwa confo kabisa. Sema tunashukuru kuna HR Manager mtu mzima mmoja aliingilia kati na kuendeleza kikao kwa kuchangia akaua soo kia aina. Acha bana mambo haya...

Mi nilimpa mimba mwalimu mkuu wa shule niliyokuwa ninasoma. Mimba ilipofikisha miezi nane na nusu mwalimu mkuu akawa anawaaga wanafunzi na walimu. Hapo akanitambulisha rasmi kuwa mimi ndiye niliyemtundika kibendi, nikawa mdogo ile mbaya, hadi leo nataniwa, kuanzia mwaka 1991 nlipokuwa nasoma Majengo Juu Mbeya

SIDHANI KAMA HII NI YA KWELI NADHANI NI STORY TU,MIMBA MWANAFUNZI WA PRIMARY?HALAFU MBAYA KWA HEADTEACHER?HALAFU MBAYA ZAIDI AKAKUTAMBULISHA MBELE YA WALIMU NA WANAFUNZI?sijui lakini!

hapa kuna walakini.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom