Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,462
- 2,205
CHADEMA ni mahali pakutimiza ndoto kwa makapi kugombea urais 2020 twende na Membe
mbona huonyeshi kipisi "kiba100" alichonacho mumeo 😲Amekatwa mkia. Kaenda kumuonyesha Yericko kipisi kilichobaki
View attachment 1126617
Wakuu ni Bernad Membe tena.
Mwanadiplomasia nguli na waziri wa mambo ya nje wa serikali ya awamu ya nne amekutana na kufanya mazungumzo na kada mtiifu pia mwanaharakati mbobevu wa CHADEMA ndugu Yericko Nyerere.
Membe anayetajwa tajwa kutimkia CHADEMA iwapo hatapitishwa kugombea urai ndani ya CCM mwakani pia amenunua kitabu maarufu cha Ujasusi wa kidola na kiuchumi kutoka kwake Yericko Nyerere.
Je hii tafsiri yake ni nini?
Safari ya Membe kwenda CDM imeshaanza?
View attachment 1126617
Wakuu ni Bernad Membe tena.
Mwanadiplomasia nguli na waziri wa mambo ya nje wa serikali ya awamu ya nne amekutana na kufanya mazungumzo na kada mtiifu pia mwanaharakati mbobevu wa CHADEMA ndugu Yericko Nyerere.
Membe anayetajwa tajwa kutimkia CHADEMA iwapo hatapitishwa kugombea urai ndani ya CCM mwakani pia amenunua kitabu maarufu cha Ujasusi wa kidola na kiuchumi kutoka kwake Yericko Nyerere.
Je hii tafsiri yake ni nini?
Safari ya Membe kwenda CDM imeshaanza?
utaumia sana😃😃😃✌✌✌Amekatwa mkia. Kaenda kumuonyesha Yericko kipisi kilichobaki
😂😂😂😂 Kule Peramiho ni CCM damu ni ngome ya kijani, Mhagama anauhakika wa kura yako?Kama CHADEMA itampokea membe na kumfanya awe mgombea wao wamekuja urais nitahakikisha wategemezi wangu marafik na majiran nawashawishi tusiipigie kura chadema 2015 sikupga kura sababu ya mamvi
Kumbe Sitta alikua akishabikia "ubeberu"??Alijua itafika kipindi watanzania wengi wengi watachagua "kivuli". Maana kina Sitta walishaanza kusema "Bora mkoloni"
Yericko anavyolazimisha watu wanunue kitabu cheke kilichojaa vumbi Amazon usikute alienda kukinadi kwa mbobezi hivyo kapiga picha akijua Membe ni hot cake Masai Mara na TANAPA atavuna wanunuzi wengi kutoka Serengeti sasaUSIKUTE IMPUTS NYINGI ZA HICHO KITABU NI ZA MEMBE CHEZEA JASUSI MBOBEZ WEYE
Hicho kitabu hakina ujasusi ni visasiri tuMembe ni Jasusi, na kitabu alichoshika kinahusu ujasusi.
Wewe unamjuaje?Kwahiyo kununua hiko kitabu ndio gumzo? Pengine humjui vilivyo Kamilius na upande wake wa pili wa shilingi.
Wasomi wengi tu hawakukubaliana na Sera ya ujamaa. Ujamaa ulikuwa unafeli kwa kasi ya ajabu kipindi hiko halaf sisi ndio tunaung'ang'aniaKumbe Sitta alikua akishabikia "ubeberu"??
Kumbuka Mwenyekiti aliwazuia wasiende kumuona lissu hospitali Wala lema gerezani. Hivyo hizo ahadi za TANU/CCM mkamsomee mwenyekiti kwanzaHuu ni moja ya Uzi wa kipumbafu kabisa, hivi Membe au mwana CCM yeyoye haruhusiwi kuzungumza na MTU wa upinzani? Mbona baadhi ya watu MNA roho za kichawi? Ahadi za TANU na CCM mnazijua?
ANA NYOTA YA PAKA KUPENDWA NA WACHAWIHivi mtatiro bado hajatunukiwa nyota yake bado nyeusi tiii
JIWE KAUA ZAO LA KOROSHO!Membe sina chuki binafsi na yeye lakini hafai kupewa nchi hii. Ataturudisha kwenye serikali dhaifu kama ya kaka yake JK pamoja na mikataba ya ajabu ya kuiua nchi ya Bandari ya Bagamoyo na Gesi. Membe apumzike. Vijana wazuri na makini wa kupewa kazi ya kuiongoza nchi wapo.
Yericko Nyerere ana wadhifa gani CHADEMA?