Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,275
- 40,885
Andaeni viongozi wenu,mkifanya ujinga tena mtaonyesha udhaifu wa taasisi yenu
Mbona nyie mmewapokea kina Kafulila, Machali, Mtatilo, yule wa Temeke, Hai na wengine mpaka ubunge mkawapa?
Membe hawezi fanya makosa ya kitoto anajua he is more safe akiwa CCM than being outside CCMWakuu ni Bernad Membe tena.
Mwanadiplomasia nguli na waziri wa mambo ya nje wa serikali ya awamu ya nne amekutana na kufanya mazungumzo na kada mtiifu pia mwanaharakati mbobevu wa CHADEMA ndugu Yericko Nyerere.
Membe anayetajwa tajwa kutimkia CHADEMA iwapo hatapitishwa kugombea urai ndani ya CCM mwakani pia amenunua kitabu maarufu cha Ujasusi wa kidola na kiuchumi kutoka kwake Yericko Nyerere.
Je hii tafsiri yake ni nini?
Safari ya Membe kwenda CDM imeshaanza?
Lumumba, au sio wa huko mkuu? Kama sio miongoni mwao basi potezea!Sie akina nani mkuu!!
Watanzania watu wa ajabu sana kununua kitabu kilichoandikwa na mwanachama wa Chadema basi unatimkia Chadema? Ahaa na ukinunua biblia wakati ni mwislamu unabadili dini?Vitabu ni kuongeza maarifa tu.Wakuu ni Bernad Membe tena.
Mwanadiplomasia nguli na waziri wa mambo ya nje wa serikali ya awamu ya nne amekutana na kufanya mazungumzo na kada mtiifu pia mwanaharakati mbobevu wa CHADEMA ndugu Yericko Nyerere.
Membe anayetajwa tajwa kutimkia CHADEMA iwapo hatapitishwa kugombea urai ndani ya CCM mwakani pia amenunua kitabu maarufu cha Ujasusi wa kidola na kiuchumi kutoka kwake Yericko Nyerere.
Je hii tafsiri yake ni nini?
Safari ya Membe kwenda CDM imeshaanza?
Sie akina nani mkuu!!
Kwani Yericko Nyerere alisharudi Chadema?!!
Alichukua kadi ya CCM mwanzoni mwa 2015 na alikuwa team Lindi Kuchele!Lini alikiwa CCM?
Yeye kaenda kuuza kitabu, au kuna nongwa hapo?
Teh teh teh.....mkuu kumbe ukishangaa ujinga wa watu fulani weye fisiemu!!!!?
Ni akili za wapumbavu hizoWatanzania watu wa ajabu sana kununua kitabu kilichoandikwa na mwanachama wa Chadema basi unatimkia Chadema? Ahaa na ukinunua biblia wakati ni mwislamu unabadili dini?Vitabu ni kuongeza maarifa tu.
Kwa nini unafikiri viongozi kama Membe ni muhimu wakati miaka yake yote amekuwa ndani ya system lakini hakuna kitu kilichokuwa kikifanyika.Viongozi km Membe ni muhimu kuwepo ili kuwafanya watawala wachape kazi
Amekatwa mkia. Kaenda kumuonyesha Yericko kipisi kilichobakiWakuu ni Bernad Membe tena.