Tukio hili la Bernad Membe linaashiria nini?

Tukio hili la Bernad Membe linaashiria nini?

Fanya utafitu usibwabwa kama MPUMBAFU kafanye research uone Nchi zilizoomo kwenye OIC
Kuna nchi za ulaya zimo OIC ktk AFRICA YA MASHARIK Uganda imo OIC na inawaislam wachache kuliko Tangannyika
Na mpka leo mbn hsitawaliwi kiislam
BAADHI WAKATI UWEUNANYAMAZA KUFICHA UJINGA WAKO
Upande mwengine walisapoti jiwe coz anawabia ukweli wazungu kwa wazungu gani?? Na anatumia lugha gani
Kikubwa mm ninacho kiona ni kuitayarisha CHATO kuwa Mjim mkubwa wa kibiashara badala ya Dar
ubarikiwe kwa majibu muruwa kwa zuzuma huyu
 
SIYO VIBAYA KUWA NA NDOTO ZA MCHANA UKIWA NA UCHOVU
1129602
 
naona mzee Yerico amepiga hatua kimaisha,kutoka kuwa mpiga Ripu hadi mwandishi wa vitabu vya kijasusi,bonge la hatua
 
Mh rais ndugu Bernard Kamilius Membe...
Ina sound vizuri
 
Back
Top Bottom