Tukio hili la Bernad Membe linaashiria nini?

Tukio hili la Bernad Membe linaashiria nini?

Huu ni moja ya Uzi wa kipumbafu kabisa, hivi Membe au mwana CCM yeyoye haruhusiwi kuzungumza na MTU wa upinzani? Mbona baadhi ya watu MNA roho za kichawi? Ahadi za TANU na CCM mnazijua?
 
Hapo ni muuzaji na mnunuzi wamekutana, usitake kurefusha sana. Kwanza yericko mwenyewe ndo amepost hyo picha fb kwa ajili ya kuvutia wateja zaidi..
 
Write your reply...Chadema Hawawezi Kukurupuka Kwa Mara Ya Pili Hata Akienda CDM anayedhaniwa na wengi kule kupewa nafasi ya kugombea ni TUNDU
 
Wakuu ni Bernad Membe tena.
Mwanadiplomasia nguli na waziri wa mambo ya nje wa serikali ya awamu ya nne amekutana na kufanya mazungumzo na kada mtiifu pia mwanaharakati mbobevu wa CHADEMA ndugu Yericko Nyerere.
Membe anayetajwa tajwa kutimkia CHADEMA iwapo hatapitishwa kugombea urai ndani ya CCM mwakani pia amenunua kitabu maarufu cha Ujasusi wa kidola na kiuchumi kutoka kwake Yericko Nyerere.

Je hii tafsiri yake ni nini?
Safari ya Membe kwenda CDM imeshaanza?
Kuwa na ukomavu,Tanzania mmeifikisha pabaya kwa kufikili kuwa karibu na mpinzani basi na wewe ni mpinzani.
 
Wakuu ni Bernad Membe tena.
Mwanadiplomasia nguli na waziri wa mambo ya nje wa serikali ya awamu ya nne amekutana na kufanya mazungumzo na kada mtiifu pia mwanaharakati mbobevu wa CHADEMA ndugu Yericko Nyerere.
Membe anayetajwa tajwa kutimkia CHADEMA iwapo hatapitishwa kugombea urai ndani ya CCM mwakani pia amenunua kitabu maarufu cha Ujasusi wa kidola na kiuchumi kutoka kwake Yericko Nyerere.

Je hii tafsiri yake ni nini?
Safari ya Membe kwenda CDM imeshaanza?

Kuna mzee mmoja marehemu R.I.P Jackson Makweta aliwahi kusema siasa ni kama upele huwasa wasa na ukiwashwa lazima ujikune
 
KWA BANDIKO LAKO HILI MNAZIDI KUTUDHIHIRISHIA KUWA SERIKALI YA CCM YA SASA INAWABAGUA WATANZANIA KWA ITIKADI ZA VYAMA VYAO, KWAMBA SASA HIVI UKIWA MWANACCM HURUHUSIWI KUKUTANA WALA KUONGEA NA MTANZANIA ASIYE MWANACCM
 
Membe sina chuki binafsi na yeye lakini hafai kupewa nchi hii. Ataturudisha kwenye serikali dhaifu kama ya kaka yake JK pamoja na mikataba ya ajabu ya kuiua nchi ya Bandari ya Bagamoyo na Gesi. Membe apumzike. Vijana wazuri na makini wa kupewa kazi ya kuiongoza nchi wapo.
 
Back
Top Bottom