Yeriko pia alikutana na masanja mkandamizaji alikuwa anamaanisha Nini?
Yeriko nibmfanyabiashara Kama mtu Mwingine mwenye wateja wa vyama vyote,makabila yote ,,rangi zote na Dini zote.
Sasa ulitaka asifanye biashara na Membe kiss NI mwanasisiemu?
Benard Membe Mimi simkubali kabisaa, Alitaka kuingiza Nchi kwenye Nchi za Kiislamu. kiss misaada .
Mbona RAIS Magufuli anaendesha Nchi na Hana misaada na mishahara inapatikana hospital zinajengwa, n.k?
Membe akagombee uwakilishi wa tawi la C.C.M .Kwenye urais hafai. TUNATAKA Rais Kama Magufuli mwenye uwezo wa kuwakabili wazungu wazi wazi bila kupepesa macho Kama Membe alivyotaka kuiunganisha Nchi kwenye OIC Kiss Zanzibar ipokee misaada mwisho wa siku Sharia zingeanza kutumika hata kwa wasio wa Islamu.