Tukio hili la Bernad Membe linaashiria nini?

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,577
Reaction score
14,338
FB_IMG_1560437859111.jpg

Wakuu ni Bernad Membe tena.

Mwanadiplomasia nguli na waziri wa mambo ya nje wa serikali ya awamu ya nne amekutana na kufanya mazungumzo na kada mtiifu pia mwanaharakati mbobevu wa CHADEMA ndugu Yericko Nyerere.

Membe anayetajwa tajwa kutimkia CHADEMA iwapo hatapitishwa kugombea urai ndani ya CCM mwakani pia amenunua kitabu maarufu cha Ujasusi wa kidola na kiuchumi kutoka kwake Yericko Nyerere.

Je hii tafsiri yake ni nini?
Safari ya Membe kwenda CDM imeshaanza?
 
Kwani Yericko Nyerere alisharudi Chadema?!!
 
Back
Top Bottom