CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,869
- 16,014
AiseeeNaomba kupewa sababu maalumu na mahususi za kisayansi na ki medani kwann gays hawaruhusiwi kujiunga na Jeshi.??
Nahitaji majibu yaliyojaa uweledi na staha, povu sitaki.
AiseeeNaomba kupewa sababu maalumu na mahususi za kisayansi na ki medani kwann gays hawaruhusiwi kujiunga na Jeshi.??
Nahitaji majibu yaliyojaa uweledi na staha, povu sitaki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muongooo sana wee, khaaahKwasababu watajinyea na kujiharishia
Toa majibu bas Mr.Aiseee
Kwanza naomb nijue wewe ni SHOGA?? Kabla sijaweka hapa maelezo fasahaToa majibu bas Mr.
Hukupaswa kutoa siri zote hizi. Shoga ni HARAMU KUU Jeshini.Enzi tuliyoandikishwa sisi, tulielezwa sababu, ilikuwa ina mantiki au haina kutegemeana na muono wa ntu na ntu!
Tulielezwa kwa kutolea mfano wa ng'ombe maksai aliyehasiwa.
Tukaulizwa kama angalizo: " ulishamuona maksai zizini ama popote akipigana na dume jenzie au 'kuhiga'(ule mlio wanatoaga madume wa kujidhihirisha kuwa yeye ndiye boss na hakuna tena mwingine kama yeye)?
Tukathibitisha kuwa ni kweli hatujawahi kuona.
Afisa yule akaendelea kueleza kuwa jamii hiyo ya watu ni lege lege kama wanawake, si wahimilivu wa mikiki mikiki na ni wagumu wa kukasirika, ambapo
Hasira ni "mtaji" jeshini maana hauwezi pigana bila kukasirika.
Sababu ya pili ni kuwa "uanaume"hutumika kama silaha ya kumdhoofisha adui.
Kwa maana kwamba mnaposhinda vita na kuteka maeneo ya adui, yapasa kuwadhalilisha kwa kuwabakia mama zao, wake zao, dada zao huku wakishuhudia na kuwapachika mimba zisizotarajiwa ili kujidhihirishia ushindi na kuwadhoofisha, je hanithi anaweza?
Maelezo ya kinadharia yalikuwa ni mengi, lakini kitabibu hatukuelewa impact ya kisayansi, maana kweli aliyepatikana "si ridhiki" aliandikiwa remarks ya "unfit" na kurejeshwa kwao hima.
Upimaji wa hiyo "stage" sasa, ni majanga!
Soja ana mitako hv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Ukweli ndio huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muongooo sana wee, khaaah
washamba tu. wanapenda sana kutesa raia utadhani ndiyo kipaumbele chao, kunawengine wanatamani raia ajichnganye ili wamtese. Ila ukiwa mwanajeshi unayejitambua raha sana basi tu madogo wengi vilaza na malimbukeni.Nenda kwenye kikosi chochote... Kawafanyie fujo, uwapime kama ni legelege ama la! Na ulete mrejesho.
Labda wamekosa kipimoZamani Jeshini ukiwa una tatoo, huna uvungu, unafanya mapenzi kinyume na maumbile huwezi kujiunga na Jeshi lakini sasa hivi hadi gays wanaenda kupiga kozi.
Tumefika huko!!!yaani Jeshi sasa hivi ni ajira wala hamna uzalendo ndo maana mtu anaweza kwenda kozi ila kipindi cha kozi chote anaumwa na siku ya kuapa anaapa.
Bas mi ndo nimeshika Ivo😔[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mtu akicheka kwa nguvu ndo anatoa haja, hapana ni story za mitaani tyuuh. Hazina ukweli wowote.
Tochi inakuacha katika hali moja mbaya sana kisaikolojia , [emoji23] ndo kitu ambacho hakuna mwanajeshi atakuambia abadani.Enzi tuliyoandikishwa sisi, tulielezwa sababu, ilikuwa ina mantiki au haina kutegemeana na muono wa ntu na ntu!
Tulielezwa kwa kutolea mfano wa ng'ombe maksai aliyehasiwa.
Tukaulizwa kama angalizo: " ulishamuona maksai zizini ama popote akipigana na dume jenzie au 'kuhiga'(ule mlio wanatoaga madume wa kujidhihirisha kuwa yeye ndiye boss na hakuna tena mwingine kama yeye)?
Tukathibitisha kuwa ni kweli hatujawahi kuona.
Afisa yule akaendelea kueleza kuwa jamii hiyo ya watu ni lege lege kama wanawake, si wahimilivu wa mikiki mikiki na ni wagumu wa kukasirika, ambapo
Hasira ni "mtaji" jeshini maana hauwezi pigana bila kukasirika.
Sababu ya pili ni kuwa "uanaume"hutumika kama silaha ya kumdhoofisha adui.
Kwa maana kwamba mnaposhinda vita na kuteka maeneo ya adui, yapasa kuwadhalilisha kwa kuwabakia mama zao, wake zao, dada zao huku wakishuhudia na kuwapachika mimba zisizotarajiwa ili kujidhihirishia ushindi na kuwadhoofisha, je hanithi anaweza?
Maelezo ya kinadharia yalikuwa ni mengi, lakini kitabibu hatukuelewa impact ya kisayansi, maana kweli aliyepatikana "si ridhiki" aliandikiwa remarks ya "unfit" na kurejeshwa kwao hima.
Upimaji wa hiyo "stage" sasa, ni majanga!
Majibu yanahusiana nn na mie?? Km huna majibu tulia.Kwanza naomb nijue wewe ni SHOGA?? Kabla sijaweka hapa maelezo fasaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Soja ana mitako hv
#Congo ushindwe wewe TU[emoji2960]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bas mi ndo nimeshika Ivo[emoji17]
Kingine shoga haeleweki ni jinsia gani. Jeshini ni pa wanaume na wanawake tu,, nafasi ya shoga haipoNonsense!!!
Kule tena sio kuwaza ya nchi ni kuponda rahaYani kuna baba mdogo wangu baada ya kuchapika na life baada ya chuo alimaliza 2OO8 nafikiri kufikia 2O1O akaotea shavu huko akaenda kozi. Sikuhizi anabadilisha NISSAN XTRAIL tu kila toleo jipya analo yani[emoji23][emoji23][emoji23] jeshini ni raha sana. 2O18 kaoa zake kwa raha mustarehe kafanyiwa sherehe kijeshi.