Tukiendelea hivi Majeshi yetu yataendelea kushuka ubora

Tukiendelea hivi Majeshi yetu yataendelea kushuka ubora

Sababu za kipumbavu sana. Kwa hii thinking no wonder majeshi yanarudi nyuma kila siku.

Unabaka ili kudhihirisha umeshinda? Hii akili au uzwazwa?

Mnapimwaje huko?
Akili za kipumbaf pumbaf sana unavyofikiria wewe, lakini dhana ama maono yako hayawezi kubadilisha ukweli wa mambo yaliyokwisha kutokea na yanayoendelea kutokea.

Vita na haki za kibinadambu ni sawa na mashariki na magharibi haviwezi kukutana.

Vita vyovyote mambo hayo hayaepukiki, iwe Ulaya kwa wastaarabu ama popote katika pembe ya dunia, fuatilia documentaries za vita vilipopiganwa popote, ukianzia na vita vikuu vya dunia na vita vinginevyo vikubwa vikubwa utaelewa maana ya niliyoyaeleza.

Lakini sasa mimi mtoa taarifa hizi siyo kwamba nafurahia wala kuyaunga mkono matendo ya uvunjifu wa haki za binadamu
 
Akili za kipumbaf pumbaf sana unavyofikiria wewe, lakini dhana ama maono yako hayawezi kubadilisha ukweli wa mambo yaliyokwisha kutokea na yanayoendelea kutokea.

Vita na haki za kibinadambu ni sawa na mashariki na magharibi haviwezi kukutana.

Vita vyovyote mambo hayo hayaepukiki, iwe Ulaya kwa wastaarabu ama popote katika pembe ya dunia, fuatilia documentaries za vita vilipopiganwa popote, ukianzia na vita vikuu vya dunia na vita vinginevyo vikubwa vikubwa utaelewa maana ya niliyoyaeleza.

Lakini sasa mimi mtoa taarifa hizi siyo kwamba nafurahia wala kuyaunga mkono matendo ya uvunjifu wa haki za binadamu

Fair enough.
 
kwa upande wangu sijui sababu lakini nadhani ni sababu za kimaadili kwa kiafya sijajua sana,na watatoo huwa hawaruhusiwi kujiunga na jeshi pia
Ndo maan nilisema za kimedani, maana maadili ya jeshi. Nahitaji kujuzwa.
 
Marinda yako wazi, mizinga ikipigwa watakua wanajinyea mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu acha uongo wako, kuna gays walienda kwa mujibu wa sheria JKT, pamoja na mazoezi na kwata ngumu, mbna hawajawahi jinyea???

Hebu kuwa serious, khaaaaah
 
Sababu ziko nyingi ila kwa kuwa mi ni mvivu kutype nakupa mbili ukitaka zaidi njoo DM toa namba ntakupigia.
1. Majeshi hutumika katika humanitarian interventions, sasa imagine kundi la mashoga wanajeshi wamepelekwa mission Somalia, kwanza wenyewe watajikuta kwenye humanitarian crisis. Maana kundi hili hata huko America kwenyewe bado halikubaliki.

2. Kuna kitu kinaitwa uhalifu wa kivita ambalo ni kosa kubwa mno. Sasa jamii ya mashoga wako vulnerable sana kufanyiwa vitendo vya ubakaji, kuteswa nk kuliko straight soldier. Imagine waasi wanamteka mwanajeshi shoga kama james delicious watamgeuza asusa.

3.


4.


5….
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya 2 nimecheka km chizi. Ila ya 1 bado haijanishawishi, ila thanks kwa kunipa ufahamu kidg.
 
Enzi tuliyoandikishwa sisi, tulielezwa sababu, ilikuwa ina mantiki au haina kutegemeana na muono wa ntu na ntu!
Tulielezwa kwa kutolea mfano wa ng'ombe maksai aliyehasiwa.
Tukaulizwa kama angalizo: " ulishamuona maksai zizini ama popote akipigana na dume jenzie au 'kuhiga'(ule mlio wanatoaga madume wa kujidhihirisha kuwa yeye ndiye boss na hakuna tena mwingine kama yeye)?

Tukathibitisha kuwa ni kweli hatujawahi kuona.

Afisa yule akaendelea kueleza kuwa jamii hiyo ya watu ni lege lege kama wanawake, si wahimilivu wa mikiki mikiki na ni wagumu wa kukasirika, ambapo
Hasira ni "mtaji" jeshini maana hauwezi pigana bila kukasirika.

Sababu ya pili ni kuwa "uanaume"hutumika kama silaha ya kumdhoofisha adui.

Kwa maana kwamba mnaposhinda vita na kuteka maeneo ya adui, yapasa kuwadhalilisha kwa kuwabakia mama zao, wake zao, dada zao huku wakishuhudia na kuwapachika mimba zisizotarajiwa ili kujidhihirishia ushindi na kuwadhoofisha, je hanithi anaweza?

Maelezo ya kinadharia yalikuwa ni mengi, lakini kitabibu hatukuelewa impact ya kisayansi, maana kweli aliyepatikana "si ridhiki" aliandikiwa remarks ya "unfit" na kurejeshwa kwao hima.

Upimaji wa hiyo "stage" sasa, ni majanga!
Ooooh hapa sasa umedadavua vyemaa, ubarikiwe sanaa.!!
Nashukuru kwa Elimu hii.
 
Majibu ya maswali yako,yapo katika hili swali..
KWANINI Huwa hamruhusiwi kuchagia damu?
Uko nje ya mada, sometimes zuia kuonesha kiwango cha ufinyu wa uwezo wako wa akili. Poleeeeeeeeh sanaaaa.
 
Siyo kohoa tu, lazima zicheze kwa kupanda juu, ukikohoa zikawa zimetulia tu, remarks ya unfit inakuhusu.

Na kuinama ni kama unataka kupimwa tezi dume.

Aaargh, udhalilishaji mtupu, lakini kwakuwa tulikuwa vijana wabichi hatukuona noma wala nini tuliona poa tu.
Hadi miaka hii wanapima kwa kuinama, ni full udhalilishaji lol.
 
Jeshi ni kazi ya kiume ile sio sehemu ya kwenda mtu mgonjwa, mlemavu au shoga! Ushoga ni disability kama ulemavu tu. Sema ni ulemavu wa kisaikolojia.
Ushoga ni ulemavu wa kisaikolojia?? Hebu fafanua vizuri hapa.
Toa Elimu kwan,
 
...Bila Hata Sababu za Kisayansi, wewe Mwanaume huuthamini Mwili wako na hujitambui kiasi Cha kukubali kuchokolewa Takle, utalidhamini Taifa lako na kulipambania???
Nafikiri hauko sahihi, labda uingie tasks, ukaokote maarifa afu urudi kuja kujibu swali hili.
 
Ile Kaz inahitaji nguvu cute,mbona nasikia gays wakicheka Kwa nguvu tu mavi huwatoka? Au ni story tu za kitaa[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mtu akicheka kwa nguvu ndo anatoa haja, hapana ni story za mitaani tyuuh. Hazina ukweli wowote.
 
Back
Top Bottom