muvangulumemile
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 697
- 986
Choko mwenzao huyu hapaNaomba kupewa sababu maalumu na mahususi za kisayansi na ki medani kwann gays hawaruhusiwi kujiunga na Jeshi.??
Nahitaji majibu yaliyojaa uweledi na staha, povu sitaki.
Choko mwenzao huyu hapaNaomba kupewa sababu maalumu na mahususi za kisayansi na ki medani kwann gays hawaruhusiwi kujiunga na Jeshi.??
Nahitaji majibu yaliyojaa uweledi na staha, povu sitaki.
Naomba kupewa sababu maalumu na mahususi za kisayansi na ki medani kwann gays hawaruhusiwi kujiunga na Jeshi.??
Nahitaji majibu yaliyojaa uweledi na staha, povu sitaki.
Sababu itakua ni mikosiNaomba kupewa sababu maalumu na mahususi za kisayansi na ki medani kwann gays hawaruhusiwi kujiunga na Jeshi.??
Nahitaji majibu yaliyojaa uweledi na staha, povu sitaki.
WeeeMimi kijana mzalendo mkakamavu
Naomba niunge niingie huko kiongozi
Akitaka toa amri kwa sauti ya ukakamavu ataishia k.u.j.a.m.b.a au ku.... kabisa.Naomba kupewa sababu maalumu na mahususi za kisayansi na ki medani kwann gays hawaruhusiwi kujiunga na Jeshi.??
Nahitaji majibu yaliyojaa uweledi na staha, povu sitaki.
mmh sijui kwakweliAkitaka toa amri kwa sauti ya ukakamavu ataishia k.u.j.a.m.b.a au ku.... kabisa.
Marinda yako wazi, mizinga ikipigwa watakua wanajinyea mkuu.
Hakuna kilichobadilika… ni utandawazi uNazungumzia haya majeshi yetu hasa JWTZ, Polisi, Uhamiaji, Magereza na mengineyo
Miaka ya nyuma watu walijiunga na Jeshi kwa moyo mmoja wa uzalendo wa kuitumikia nchi yao hali imekuwa tofauti kwa miaka ya hivi karibuni mtu anamaliza bachelor ama amefeli anasota kitaa anaona solution ni kwenda Jeshi, yaani Jeshi sasa hivi ni ajira wala hamna uzalendo ndo maana mtu anaweza kwenda kozi ila kipindi cha kozi chote anaumwa na siku ya kuapa anaapa.
Mbaya zaidi maafisa wako bize kuingiza vijana wao na ndugu zao mfano zamani TISS walikuwa wanachukua watu baada ya uchunguzi wa kina, ila sasa hivi wanaenda kwa connection tutegemee makubwa zaidi
ukiwa hauna connection hata kama una moyo wa kuwa mjeda sahau labda utaingia kama mtu wa ziada kujazia nafasi iliyo wazi
Na hata juzi vijana waloenda Msata na Oljoro lilitoka bogi la Mabeyo(kama hujui tulia hivo hivo)
Zamani Jeshini ukiwa una tatoo, huna uvungu, unafanya mapenzi kinyume na maumbile huwezi kujiunga na Jeshi lakini sasa hivi hadi gays wanaenda kupiga kozi.
Jeshini sasa hivi imekuwa sehemu ya kustarehe yaani hata hawawazi chochote, maafisa wao ni starehe kwa kwenda mbele na umalaya.
Vijana legelege nao wamo siku hizi
Kwa taarifa yenu tuendelee kukwepa migogoro na nchi nyingine kwa maana kwa jinsi majeshi yetu yalivo relax ni rahisi kuingia na kuchunguza kila kitu kwa uzuri
Msishangae Jeshi kuendelea kushuka chini kwenye ranks
Nipo hapa bonyokwa nacheza draft
Jeshi ni kazi ya kiume ile sio sehemu ya kwenda mtu mgonjwa, mlemavu au shoga! Ushoga ni disability kama ulemavu tu. Sema ni ulemavu wa kisaikolojia.Naomba kupewa sababu maalumu na mahususi za kisayansi na ki medani kwann gays hawaruhusiwi kujiunga na Jeshi.??
Nahitaji majibu yaliyojaa uweledi na staha, povu sitaki.
Maisha magumu mkuu, bila connection hutoboi haya maisha ya leo. Yani lazma uwe well connected ili mambo yaendesiku hizi jeshi limekuwa ajira huendi bila connection
...Bila Hata Sababu za Kisayansi, wewe Mwanaume huuthamini Mwili wako na hujitambui kiasi Cha kukubali kuchokolewa Takle, utalidhamini Taifa lako na kulipambania???Naomba kupewa sababu maalumu na mahususi za kisayansi na ki medani kwann gays hawaruhusiwi kujiunga na Jeshi.??
Nahitaji majibu yaliyojaa uweledi na staha, povu sitaki.
Yani kuna baba mdogo wangu baada ya kuchapika na life baada ya chuo alimaliza 2OO8 nafikiri kufikia 2O1O akaotea shavu huko akaenda kozi. Sikuhizi anabadilisha NISSAN XTRAIL tu kila toleo jipya analo yani😂😂😂 jeshini ni raha sana. 2O18 kaoa zake kwa raha mustarehe kafanyiwa sherehe kijeshi.akitaka aje wala hatopata shida maana sie huku kambini tunashindana kununua gari kali kupandishwa vyeo,ndo maana unaona wanahangaika watoto wao waingie jeshini maendelee kula maisha tu
Style itakuwa kama ya jeshi la urusi tu, vigogo waliingiza watoto wao sasa wanahangaika na majeshi ya kukodi tu sababu watoto wa wakubwa vita hawawezi wanauliwa kama njiwa front line😂😂😂Huyo kigogo mwenyewe anaesoma hapa nae anaingiza watoto wake na nduguze huko jeshini kwa style hio hio iliyosemwa kwny hii thread.
Mazoezi ni kwenye kozi tu ukimaliza ile miezi 6 ya mazoezi wewe ni kula bia tu na kutmba malaya. Kama una cheo mwendo wa kuagiza magari tu duty free 😂😂😂Siku hizi hata hawaendi zile mission kama za Seychelles
Kuna jamaa zangu wananiambia katka watu wanao kula starehe hapa tz ni wao
Full pombe na mademu
Mtu anaingia jeshin hadi ana staafu hajui vita kabsaaa
Maajabu mwanajeshi anakitambii kama kiroba hizi ni dharau kabsaaa
Muasisi si mzee wenu wa Bagamoyo 😂😂😂 au mshasahau kuwa awamu ya "Maisha bora kwa kila mtanzania" ndio ilizaa hili janga.Hivi muasisi wa connection ni nani? Haya mambo yameanzia awamu ipi?
Ile Kaz inahitaji nguvu cute,mbona nasikia gays wakicheka Kwa nguvu tu mavi huwatoka? Au ni story tu za kitaa🤔Naomba kupewa sababu maalumu na mahususi za kisayansi na ki medani kwann gays hawaruhusiwi kujiunga na Jeshi.??
Nahitaji majibu yaliyojaa uweledi na staha, povu sitaki.
Ila tuseme ukweli kama unafuatilia vizur vita ya Ukraine na Russia jinsi inavyopiganwa utagundua Jeshi letu ni kama hamna kitu.