Naomba kupewa sababu maalumu na mahususi za kisayansi na ki medani kwann gays hawaruhusiwi kujiunga na Jeshi.??
Nahitaji majibu yaliyojaa uweledi na staha, povu sitaki.
Enzi tuliyoandikishwa sisi, tulielezwa sababu, ilikuwa ina mantiki au haina kutegemeana na muono wa ntu na ntu!
Tulielezwa kwa kutolea mfano wa ng'ombe maksai aliyehasiwa.
Tukaulizwa kama angalizo: " ulishamuona maksai zizini ama popote akipigana na dume jenzie au 'kuhiga'(ule mlio wanatoaga madume wa kujidhihirisha kuwa yeye ndiye boss na hakuna tena mwingine kama yeye)?
Tukathibitisha kuwa ni kweli hatujawahi kuona.
Afisa yule akaendelea kueleza kuwa jamii hiyo ya watu ni lege lege kama wanawake, si wahimilivu wa mikiki mikiki na ni wagumu wa kukasirika, ambapo
Hasira ni "mtaji" jeshini maana hauwezi pigana bila kukasirika.
Sababu ya pili ni kuwa "uanaume"hutumika kama silaha ya kumdhoofisha adui.
Kwa maana kwamba mnaposhinda vita na kuteka maeneo ya adui, yapasa kuwadhalilisha kwa kuwabakia mama zao, wake zao, dada zao huku wakishuhudia na kuwapachika mimba zisizotarajiwa ili kujidhihirishia ushindi na kuwadhoofisha, je hanithi anaweza?
Maelezo ya kinadharia yalikuwa ni mengi, lakini kitabibu hatukuelewa impact ya kisayansi, maana kweli aliyepatikana "si ridhiki" aliandikiwa remarks ya "unfit" na kurejeshwa kwao hima.
Upimaji wa hiyo "stage" sasa, ni majanga!