Tukiendelea hivi Majeshi yetu yataendelea kushuka ubora

Tukiendelea hivi Majeshi yetu yataendelea kushuka ubora

Style itakuwa kama ya jeshi la urusi tu, vigogo waliingiza watoto wao sasa wanahangaika na majeshi ya kukodi tu sababu watoto wa wakubwa vita hawawezi wanauliwa kama njiwa front line[emoji23][emoji23][emoji23]
tuendelee kuwa na amani hivihivi
 
kama kuna rushwa ktk kuwapitisha vijana ktk sekta nyeti kama hizo nashauri ikome mana tunaharibu.Mim ni mhanga ktk hilo ila nilipenda sana toka moyoni c kwa dhiki ya kazi lakini nikakosa.
ni kweli kuna wanaopenda ila siku hizi na changamoto ya ajira imechangia yaani mwingine hakuwahi kuwaza kuwa port ila maisha yakimchapa utasikia naenda jeshinu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu acha uongo wako, kuna gays walienda kwa mujibu wa sheria JKT, pamoja na mazoezi na kwata ngumu, mbna hawajawahi jinyea???

Hebu kuwa serious, khaaaaah
mwaka gani walienda?je kama waliangushia kozi?majeshi ilikuwa zamani sio sasa hivi
 
Back
Top Bottom