Mkasa wa kweli: najuta kwenda honeymoon - nilichofanyiwa sitakuja kusahau

Storika Tz

Member
Dec 18, 2023
17
47
....01

Waswahili wanasema simulia sana ila omba yasikukute. Mwenzenu yamenikuta. Yaliyonikuta honeymoon sitakuja kuyasahau. Nilichofanywa milele kitabaki moyoni mwangu.Sitasahau kamwe. Naomba ungana nami kwenye hii simulizi ya kweli kujua lipi ni lipi.

Sehemu ya kwanza.

Tukiwa nyumbani baada ya kutoka kufunga ndoa kanisani, ndugu wa Mume wangu walifanya mambo ambayo sikuyaelewa .Kila nilipoyafikiria nilishindwa kupata majibu.

" Kwanini ndugu zako wanafanya hivi ? " Nilimuuliza Sam.

" Wanafanyaje? "

" Aaaah! Inamaana huoni wanachokifanya. "

" Ndio sioni! Kama ningeona nisingekuuliza. "

" Wananikosea heshima . Muda wote wanaangalia maungo yangu. Nikitembea wanaangalia makalio yangu na kuniteta. " Nilimwambia.

Ajabu, Sam badala ya kuchukia, alicheka .Tena alicheka kicheko kilichoniacha mdomo wangu.

" Hivi hili ni jambo la kuchekesha?" Nilimuuliza.

" Achana na hayo Judi. Jiandae twende ukumbini.Muda umeenda." Aliniambia.

Alinishika mkono na kunipeleka chumbani.

" Jiandae. Saa moja kamili yatakiwa tuwe ukumbini." .

" Lakini Sam...."

" Achana na mambo madogo madogo. Jiandae twende ukumbini." Aliniambia.

Nilikuwa mpole.

Niliamua kufanya alichokitaka .Nilioga na kujipodoa.

" Waoooooo.....umependeza sana Mke wangu." Aliniambia .Alinisogelea na kunibusu kwenye paji la uso.

" Ahsante.." Nilimjibu.

Tuliongozana kutoka chumbani. Tukiwa kwenye korido tulikutana na Baba yake mdogo. Baada ya kuniona nilivyopendeza ,alijishika kichwa.

" Eeeeh! wewe ni mzuri.. " Aliniambia. Alinisogelea na kunizunguka kwa nyuma. Alinishika makalio .

" Mmmmh ..." Aliguna.

Kitendo cha kunishika makalio kilinikera. Niligeuka na kutaka kumwambia, lakini kabla sijaongea ,Sam aliongea.

" Sichaguagi vitu vya ajabu ajabu . Si unaona mzigo ." Aliongea Sam.

Kauli yake ilimaanisha anaunga mkono kitendo cha baba yake mdogo kunishika makalio.

" Huyu mwanaume wa ajabu sana. Inamaana kitendo cha Baba yake mdogo kunishika makalio anakiona cha kawaida ?" Nilijiuliza. Nilimtazama nikiwa na maswali.

" Nitaongea naye baadae. Kama anaona kawaida nitamueleza hii sio kawaida, ni kunikosea heshima." Nilijiambia.

.............................................................

Ukumbini.

Tabia ya ndugu wa Mume wangu kuniangalia na kuniteta iliendelea.

Safari hiii tofauti na nyumbani, walikuwa wakiniteta huku wakioneshana kitu kwenye simu. Ni kama kwenye ile simu kulikuwa na picha yangu. Muda wote waliongea huku wakiniangalia na kuangalia ile simu.

" Hivi hii ni kawaida?" Nilimuuliza Sam.

" Judi acha kuharibu sherehe yako. Kwanza usiniulize vitu visivyokuwa na msingi. Tupo hapa kwa ajili ya Kunywa ,kula na kusherekea."

" Nitasherekeaje wakati mambo hayapo sawa. Ndugu zako wanayateta maungo yangu?" Nilimwambia.

Badala ya kunijibu, Sam alichukua simu yake na kupiga. Alisimama na kwenda pembeni kidogo. Aliongea kwa sekunde kadhaa kisha akarudi .

.....................................

Sherehe ikiwa inakaribia kuisha,majira ya saa tano usiku, wazazi wa Sam yaani wakwe zangu walikuja kutuaga .Wakiwa wanatuaga waliongea kitu kilichoniacha mdomo wazi.

" Tunatangulia hotelini.." Aliongea Mama Mkwe.

" Mmmh! Kwanini waende hotelini? Kwanini wasiende nyumbani?" Nilijiuliza. Nilimgeukia Sam na kumuuliza.

" Wanaenda Hotel gani? "

" Legend Hotel." Alinijibu

Legend Hotel ni Hotel ambayo tulipanga kufanya fungate letu. Kitendo cha kuniambia wazazi wake wanaenda pale kilinichanganya.Sikuelewa wanaenda kufanya nini.

" Lakini kwanini waende hotelini? Si wangeenda nyumbani ."

" Mmmmh! Judi unagubu sana." Aliongea kwa ukali Sam.

Sikutaka kuendelea kumuuzi,niliamua kukaa kimya. Lakini gafla, ndugu zake waliokuwa wananiteta sikuwaona . Niliangaza kila pande, hawakuwepo ukumbini.

" Ndugu zako wameenda wapi ?" Nilimuuliza Sam.

" Wametangulia." Alinijibu kifupi.

" Wametangulia wapi?"

" Wametangulia Legend Hotel" .

" Eeeh! Na wao wameenda legend Hotel? Lakini kwanini wameenda kule? Kumbuka leo tunaanza Honey moon,na tutaifanyia pale."

Hakunijibu kitu.

Kutokunijibu kulimaanisha hayupo tayari kuliongelea swala nililomuuliza. Niliamua kukaa kimya.Sikutaka kumuuzi kwa maswali japo kichwani nilijiuliza sababu ya wao kwenda hotelini. Maana kwenye ile hoteli tulipaswa kwenda wawili tu.Mimi na Sam.

...............................

Majira ya saa sita usiku,Sherehe ukumbini iliisha. Mimi na Sam tuliondoka kuelekea Hotelini.

" Leo ni usiku wetu wa kwanza, nataka uwe wa kukumbukwa."Aliniambia huku akinibusu shavuni. Alipeleka mkono wake Ikulu kwangu.

" aaaaashiii..taratibu bana..." Nilimwambia .Nilimtoa mkono wake ikulu .

Nilimsogelea na kumnongoneza. " Mimi ni wako,subiri tufike.".

" Leo…..” Alitamka Sam.

Hakukaa sana alitamka tena.

“ Leo…”

“Leo..”

“ Leo nini?” Nilimuuliza.

Hakunijibu. Alitamka tena.

“ .leo....leo....leo...." Alitamka mara tatu. Aliniangalia kisha akanibinyia jicho.

" Kwanini anatamka hivi?" Nilijiuliza moyoni. Sikupata jibu. Niliamua kupuuzia.

………………..

Tulifika Hotelini.

Alinishusha kwenye gari . Alinibeba juu juu kuelekea chumbani. Njia nzima alinibusu na kunipapasa . Ni kama alikuwa na wazimu.

Tuliingia kwenye chumba tulichoandaliwa. Chumba kilikuwa na giza totoro.Alinilaza kitandani na kuendelea kunibusu .Alinitoa nguo na kuniacha kama nilivyozaliwa.

“ Washa taa kwanza..” Nilimwambia.

" Hivi ndio safi. " Aliniambia.

" mmmmh!" Niliguna. Giza lilikuwa totoro sana.

" Tunafanyaje mapenzi kwenye giza hili?" Nilijiuliza. Moyo wangu haukuridhika ila niliamua kupotezea. Sam alinibusu na kunichombeza.Alinigusa na kunichezea sehemu dhaifu.

“ Aaaa…ai…aaaa….” Nililalamika kila aliponigusa.

Gafla, Mwili ulinisisimka. Nywele zilinisimama. Hofu ilinishika na moyo ulipiga kwa kasi.

" ndi ... ndi...ndi... " Moyo ulipiga.

Nilitetemeka kwa woga.

Sifahamu nini kilitokea .Nilikosa amani kabisa.

" Mbona hivyo ?" Aliniuliza.

"Mwenyewe Sielewi. ..'

"Mmmmh! Basi Usiogope?" Aliniambia . Alinishika na kunilaza kitandani. Bila kujali hali yangu aliendelea kunipapasa na kunichombeza.

Akiwa anakilamba kifua changu, ajabu,gafla, ............
Nakuja
 
Bado hujafika tu.
 
Ili uwe mwandishi mzuri jifunze kuchagua tittle itakayowavutia wasomaji

Hiyo tittle yako ingekuwa umechapa kitabu usingeuza unaona hata wasomaji humu hawajavutiwa

Mtu km mm ninayesoma vitabu nilipoona tu tittle tayari nikawa nimeimalizia simulizi yako kwenye fikra

Kwasababu mambo ambayo watu hawasahau zaidi ni yale ya kuumiza sana na kufurahisha zaidi

Kwenye Honeymoon mambo ambayo yanaweza yakakufanya usisahau ni

Mume wako kuacha kutokana na kukutana na kitu tofauti na matajirio yake

Mume wako kufa and so

So young lady,learn to create an interesting tittle
 
Kaka usikariri maisha,,, pia sijakulazimisha kusoma au kunkpangia' kaandike ya kwako uandike title utakavyo' zangu achana nazo mkuu
 
Ili uwe mwandishi mzuri jifunze kuchagua tittle itakayowavutia wasomaji

Hiyo tittle yako ingekuwa umechapa kitabu usingeuza unaona hata wasomaji humu hawajavutiwa

Mtu km mm ninayesoma vitabu nilipoona tu tittle tayari nikawa nimeimalizia simulizi yako kwenye fikra

Kwasababu mambo ambayo watu hawasahau zaidi ni yale ya kuumiza sana na kufurahisha zaidi

Kwenye Honeymoon mambo ambayo yanaweza yakakufanya usisahau ni

Mume wako kuacha kutokana na kukutana na kitu tofauti na matajirio yake

Mume wako kufa and so

So young lady,learn to create an interesting tittle
Punguza ujuaji kwenye kazi za watu' kaandike za kwako uandike title utakavyo.
 
....01

Waswahili wanasema simulia sana ila omba yasikukute. Mwenzenu yamenikuta. Yaliyonikuta honeymoon sitakuja kuyasahau. Nilichofanywa milele kitabaki moyoni mwangu.Sitasahau kamwe. Naomba ungana nami kwenye hii simulizi ya kweli kujua lipi ni lipi.

Sehemu ya kwanza.

Tukiwa nyumbani baada ya kutoka kufunga ndoa kanisani, ndugu wa Mume wangu walifanya mambo ambayo sikuyaelewa .Kila nilipoyafikiria nilishindwa kupata majibu.

" Kwanini ndugu zako wanafanya hivi ? " Nilimuuliza Sam.

" Wanafanyaje? "

" Aaaah! Inamaana huoni wanachokifanya. "

" Ndio sioni! Kama ningeona nisingekuuliza. "

" Wananikosea heshima . Muda wote wanaangalia maungo yangu. Nikitembea wanaangalia makalio yangu na kuniteta. " Nilimwambia.

Ajabu, Sam badala ya kuchukia, alicheka .Tena alicheka kicheko kilichoniacha mdomo wangu.

" Hivi hili ni jambo la kuchekesha?" Nilimuuliza.

" Achana na hayo Judi. Jiandae twende ukumbini.Muda umeenda." Aliniambia.

Alinishika mkono na kunipeleka chumbani.

" Jiandae. Saa moja kamili yatakiwa tuwe ukumbini." .

" Lakini Sam...."

" Achana na mambo madogo madogo. Jiandae twende ukumbini." Aliniambia.

Nilikuwa mpole.

Niliamua kufanya alichokitaka .Nilioga na kujipodoa.

" Waoooooo.....umependeza sana Mke wangu." Aliniambia .Alinisogelea na kunibusu kwenye paji la uso.

" Ahsante.." Nilimjibu.

Tuliongozana kutoka chumbani. Tukiwa kwenye korido tulikutana na Baba yake mdogo. Baada ya kuniona nilivyopendeza ,alijishika kichwa.

" Eeeeh! wewe ni mzuri.. " Aliniambia. Alinisogelea na kunizunguka kwa nyuma. Alinishika makalio .

" Mmmmh ..." Aliguna.

Kitendo cha kunishika makalio kilinikera. Niligeuka na kutaka kumwambia, lakini kabla sijaongea ,Sam aliongea.

" Sichaguagi vitu vya ajabu ajabu . Si unaona mzigo ." Aliongea Sam.

Kauli yake ilimaanisha anaunga mkono kitendo cha baba yake mdogo kunishika makalio.

" Huyu mwanaume wa ajabu sana. Inamaana kitendo cha Baba yake mdogo kunishika makalio anakiona cha kawaida ?" Nilijiuliza. Nilimtazama nikiwa na maswali.

" Nitaongea naye baadae. Kama anaona kawaida nitamueleza hii sio kawaida, ni kunikosea heshima." Nilijiambia.

.............................................................

Ukumbini.

Tabia ya ndugu wa Mume wangu kuniangalia na kuniteta iliendelea.

Safari hiii tofauti na nyumbani, walikuwa wakiniteta huku wakioneshana kitu kwenye simu. Ni kama kwenye ile simu kulikuwa na picha yangu. Muda wote waliongea huku wakiniangalia na kuangalia ile simu.

" Hivi hii ni kawaida?" Nilimuuliza Sam.

" Judi acha kuharibu sherehe yako. Kwanza usiniulize vitu visivyokuwa na msingi. Tupo hapa kwa ajili ya Kunywa ,kula na kusherekea."

" Nitasherekeaje wakati mambo hayapo sawa. Ndugu zako wanayateta maungo yangu?" Nilimwambia.

Badala ya kunijibu, Sam alichukua simu yake na kupiga. Alisimama na kwenda pembeni kidogo. Aliongea kwa sekunde kadhaa kisha akarudi .

.....................................

Sherehe ikiwa inakaribia kuisha,majira ya saa tano usiku, wazazi wa Sam yaani wakwe zangu walikuja kutuaga .Wakiwa wanatuaga waliongea kitu kilichoniacha mdomo wazi.

" Tunatangulia hotelini.." Aliongea Mama Mkwe.

" Mmmh! Kwanini waende hotelini? Kwanini wasiende nyumbani?" Nilijiuliza. Nilimgeukia Sam na kumuuliza.

" Wanaenda Hotel gani? "

" Legend Hotel." Alinijibu

Legend Hotel ni Hotel ambayo tulipanga kufanya fungate letu. Kitendo cha kuniambia wazazi wake wanaenda pale kilinichanganya.Sikuelewa wanaenda kufanya nini.

" Lakini kwanini waende hotelini? Si wangeenda nyumbani ."

" Mmmmh! Judi unagubu sana." Aliongea kwa ukali Sam.

Sikutaka kuendelea kumuuzi,niliamua kukaa kimya. Lakini gafla, ndugu zake waliokuwa wananiteta sikuwaona . Niliangaza kila pande, hawakuwepo ukumbini.

" Ndugu zako wameenda wapi ?" Nilimuuliza Sam.

" Wametangulia." Alinijibu kifupi.

" Wametangulia wapi?"

" Wametangulia Legend Hotel" .

" Eeeh! Na wao wameenda legend Hotel? Lakini kwanini wameenda kule? Kumbuka leo tunaanza Honey moon,na tutaifanyia pale."

Hakunijibu kitu.

Kutokunijibu kulimaanisha hayupo tayari kuliongelea swala nililomuuliza. Niliamua kukaa kimya.Sikutaka kumuuzi kwa maswali japo kichwani nilijiuliza sababu ya wao kwenda hotelini. Maana kwenye ile hoteli tulipaswa kwenda wawili tu.Mimi na Sam.

...............................

Majira ya saa sita usiku,Sherehe ukumbini iliisha. Mimi na Sam tuliondoka kuelekea Hotelini.

" Leo ni usiku wetu wa kwanza, nataka uwe wa kukumbukwa."Aliniambia huku akinibusu shavuni. Alipeleka mkono wake Ikulu kwangu.

" aaaaashiii..taratibu bana..." Nilimwambia .Nilimtoa mkono wake ikulu .

Nilimsogelea na kumnongoneza. " Mimi ni wako,subiri tufike.".

" Leo…..” Alitamka Sam.

Hakukaa sana alitamka tena.

“ Leo…”

“Leo..”

“ Leo nini?” Nilimuuliza.

Hakunijibu. Alitamka tena.

“ .leo....leo....leo...." Alitamka mara tatu. Aliniangalia kisha akanibinyia jicho.

" Kwanini anatamka hivi?" Nilijiuliza moyoni. Sikupata jibu. Niliamua kupuuzia.

………………..

Tulifika Hotelini.

Alinishusha kwenye gari . Alinibeba juu juu kuelekea chumbani. Njia nzima alinibusu na kunipapasa . Ni kama alikuwa na wazimu.

Tuliingia kwenye chumba tulichoandaliwa. Chumba kilikuwa na giza totoro.Alinilaza kitandani na kuendelea kunibusu .Alinitoa nguo na kuniacha kama nilivyozaliwa.

“ Washa taa kwanza..” Nilimwambia.

" Hivi ndio safi. " Aliniambia.

" mmmmh!" Niliguna. Giza lilikuwa totoro sana.

" Tunafanyaje mapenzi kwenye giza hili?" Nilijiuliza. Moyo wangu haukuridhika ila niliamua kupotezea. Sam alinibusu na kunichombeza.Alinigusa na kunichezea sehemu dhaifu.

“ Aaaa…ai…aaaa….” Nililalamika kila aliponigusa.

Gafla, Mwili ulinisisimka. Nywele zilinisimama. Hofu ilinishika na moyo ulipiga kwa kasi.

" ndi ... ndi...ndi... " Moyo ulipiga.

Nilitetemeka kwa woga.

Sifahamu nini kilitokea .Nilikosa amani kabisa.

" Mbona hivyo ?" Aliniuliza.

"Mwenyewe Sielewi. ..'

"Mmmmh! Basi Usiogope?" Aliniambia . Alinishika na kunilaza kitandani. Bila kujali hali yangu aliendelea kunipapasa na kunichombeza.

Akiwa anakilamba kifua changu, ajabu,gafla, ............
Nakuja
Hey ukuje huku utuambie kama ndugu na wao walikupelekwa moto au walikuwa watazamaji
 
NAJUTA KWENDA HONEYMOON -NILICHOFANYIWA SITAKUJA KUSAHAU- 02.

"Mmmmh! Basi Usiogope?" Aliniambia . Alinishika na kunilaza kitandani. Bila kujali hali yangu aliendelea kunipapasa na kunichombeza.

Akiwa anakilamba kifua changu, ajabu, gafla alitokea mtu na kumpiga kibao.

“ Paaah! Kilitua shavuni.

“Eeeeh! “ Nilistaajabu.

Kabla hatujafanya lolote, yule mtu aliondoka . Alipotea kwenye giza la mle ndani.Nilijaribu kumtazama kwa umakini sikumuona.

“ Huyu nani? Ameingiaje humu?” Nilimuuliza Sam.

Hakunijibu.

“ Ngoja nikawashe taa.” Nilimwambia.

Nilishuka kitandani. Sam alinidaka mkono.

“ Usiwashe taaa. Naomba tuendeleee.”Aliniambia.

“ Aaaah! yaliyotokea unayaona ya kawaida?”

“ Yaliyotokea yepi? Mbona sikuelewi.” Aliniambia Sam.

“ Kwahiyo unataka kunifanya kichaa . Aliyekupiga kibao hujamuona ?”

“ Kibao! Nani anipige kibao? Humu ndani tupo wawili .Nani atanipiga kibao?.”

“ Usitake kunichanganya Sam.. Nimeshuhudia kwa macho yangu. Kuna mtu ametoka gizani na kukupiga kibao. Naomba nikawashe taa tumtafute. Humu ndani sio salama.”

Sam alikataa. Alikataa katakata. Aliniambia hakuna mtu aliyempiga kibao. Aliniambia uchovu wa harusi umenifanya niwe na mawenge.Aliniambia naona vitu visivyokuwepo.

“ Aaaah!’ Nilistaajabu.Nilimwangalia bila kumuelewa.

“ Inamaana hajamuona?” Nilijiuliza.

“ Hapana. Amemuona. Kama hajamuona anazani kibao kampiga nani?” Nilijiuliza.

“ Lakini kama amemuona kwanini anakataa. Kwanini anasema hajamuona? Kwanini anang’ang’ania tufanye kwenye giza?.” Nilijiuliza. Akili yangu iliamini mtu aliyempiga kibao alikuwa mle ndani, na bila shaka aliingia kabla sisi hatujaenda. Swali la msingi alikuwa nani, na kwanini ampige kibao.

“ Unaniangusha mpenzi wangu. Yaani nakuchombeza wewe umekaa tu. Sio poa kabisa. Jaribu kuonesha ushirikiano.” Aliniambia.

“ Sipo tayari kuendelea . Nahitaji kumjua yule mtu . Ameingiaje humu? Unajua mpaka sasa bado yupo humu .”

“ Daaah! Sikutegemea kama ungekuwa hivi.” Aliniambia. Aliniacha na kujilaza pembeni yangu.

Nilimgeukia.

“ Nipoje?”

“ Una maluwi luwi sana. Akili yako haijatulia. Yaani unaona viti visivyokuwepo.”

“Ninachokuambia sio mawazo yangu. Ni kitu cha kweli. Kimetokea mbele ya macho yetu. Kuna mtu amekupiga kibao. Nahitaji kujua ni nani, na ameingiaje humu? .”

“ Hakuna mtu humu .”

“ Kwahiyo naota?.”

“ Sikiliza Judy. Leo ni usiku wetu wa kwanza. Kugombana na kubishana sio kitu kizuri.Kama kungekuwa na mtu ningepambana naye. Lakini hakuna mtu. Naomba nielewe. Naomba acha kuniuliza maswali na kunibishia.” Aliniambia.

“ Inawezekana ni kweli. Huenda nimeona maluwi luwi.” Nilijiambia.

“ Sawa Love.” Nilimjibu.

Alinishika kichwa na kunibusu shingoni.Nami nilirudisha majibu. Tulianza kupapasana na kugalazana. Niligumia naye aligumia. Gafla, alinitaka nimuache. Nilimuacha.

Alinishika vizuri na kuniweka mkao ambao sikuulewa.

“ Unataka kunifanya nini?”

“ Shiiii…” Alinipa ishara ya kutoongea.

Akiwa anajiandaa kufanya alichotaka, alitokea yule mtu tena. Alisogea hadi kitandani na kumpiga kibao .

“ Paaaaah!” Kilitua shavuni.

Safari hii sikushangaa.Nilimuwahi. Nilimdaka mkono. Niliushika mkono wake bila kuuachia.

Simulizi hii imesajiliwa kwa jina la samwely kisinga. Hairuhusiwa kuchapishwa au kusambazwa bila ruhusa yake. Hatua kali za kisheria zitachulikwa kwa wote watakaokaidi.

Ukimaliza kuandika episode zote, na sisi tutakuja kusoma.
 
Chizi maarifa alikua anagombana sana na wanaorefusha story kwa kuchelewesha chelewesha episode... Chizi maarifa nimeanza kumuelewa.
 
Itakuwa kuna sehemu anaitoa, ikichelewa kutoka na yeye anachelewa kuiweka hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom