Je, wajua biashara na huduma nyingi zinakufa kwa kukosa mifumo bora ya kuzisimamia?

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Dec 13, 2019
1,006
1,171
Habari mkuu,

Naomba nikujulishe moja ya sababu ya biashara nyingi kukwama.

Kiukweli yapo mengi yanayochangia kutokuendelea kwa biashara nyingi na majawapo Ni Mfumo bora na Mfumo sahihi.

Vile vile kukosa mfumo inapelekea biashara nyingi kufa au kufungwa baada mwanzilishi kuondoka au kupata matatizo na hivyo kupeleka warithi kutokujukua kinachoendelea.

Ipo mifumo isiyo rasmi na mifumo rasmi sahihi ya kisasa na kidigital Kama ambayo napenda kukueleza rafiki

Kwa upande wetu tunahusika Kubuni kutengeneza na kuunganishia wafanyabiashara na WATOA HUDUMA mifumo Bora na ya kisasa kabisa, ambayo unaweza kunitumia kwenye computer au smartphone yako popote nchini.

Baadhi ya mifumo tuliyonayo
1. Mfumo wa Kusimamia mauzo kuanzia manunuzi ya stock mauzo ya bidhaa zote , kufunga mahesabu kila siku na kutoa ripoti ya kila siku wiki mwenzi hata mwaka
Huu unafaa kwa Maduka ya Aina zote jumla na reja reja

2. Mfumo wa Hospital, zahanati, clinic na vituo vya Afya
Huu Ni kuanzia mapokezi triage consultation investigation Pharmacy na Ipd na kuandaa ripoti zote za kituo na mahesabu yake

3. Mfumo wa maabara binafsi
Huu pia unahusisha triage reception phlibotomy process na report zote

4. Mfumo wa Pharmacy na Duka la dawa muhimu
Huu Ni Mfumo mzuri Sana una manage stock yako ya dawa na mauzo yake , pia inakualert dawa zinazokaribia kuisha au kuexpy

Mifumo yote hii unaweza kufuatilia biashara yako na mahesabu yake hata ukiwa nje ya Eneo la biashara

Hii Mifumo yote unaunganishiwa bure na kupewa mwenzi mmoja free. Kisha utaanza kulipia kwa mwenzi ambayo wastani wa chini Ni shilingi Mia tano 500/= tu kwa siku kulingana na Aina ya Mfumo.

Karibu Sana tukuwezeshe usimamie na uendeshe biashara yako kisasa na kidigital

Mawasiliano

Piga sms au nitext WhatsApp

0613584570
 
Kwa wewe mwajiriwa Mifumo yetu itakupunguzia muda wa kukaa Sana Eneo la biashara hivyo KUENDELEA na ajira yako huku ukiifatilia zaidi kupitia Mfumo
 
Hii Mifumo pia Ina faida kwa wale wenye Maduka au biashara zaidi ya moja inakusaidia kufuatilia biashara zote kwenye smartphone yako tu bila shida yoyote
 
Tunakuwezesha kuendesha biashara yako kisasa na kidigital
Ukishaiingiza tu stock mpya unafuatilia tu biashara yako hata ukiwa nje ya nchi
 
Kwa biashara Endelevu hakikisha unaiwekea Mfumo Bora
Hata Kama Ni ndogo Anza kujiwekea nidhamu ya kutumia Mfumo ili kuwa na biashara inayokua kila siku
 
Si mtuuzie jumla!
Ukihitaji jumla pia mkuu tunakutengenezea bila shida
Tumejaribu kuweka mazingira ya kila MTU kuweza kutumia Mfumo kwa gharama ndogo kabisa

Ukihitaji jumla Kuna gharama za WAKATI mmoja
Au
Mkataba wa kulipia kidogo kidogo kwa awamu

Lakini
Kumbuka kuna gharama ambazo utalipia pia kila Mara baada ya KUMILIKI Mfumo wako mwenyewe
Ambazo wateja wa kila mwenzi hawahitaji kughamia

Kwa Mfumo mkubwa Kama hospital utapaswa kununua saver yako pia

Maintance ya Mfumo wako

Maboresho update za mfumo
Malipo ya Domain nk

Ila ukitaji Mfumo wako mwenyewe tumekuwekea utaratibu mzuri wa kulipia kwa awamu
 
Kwa kibasi kibovu....mfumo unaweza bembeleza kampuni ikue?
Sijakupata mkuu
Ila management Ni moja ya Jambo muhimu katika kukuza biashara na kampuni yoyote
Na Mfumo Ni moja Jambo muhimu katika usimamizi Bora
Hata uwe na mtaji mkubwa kiasi gani bila usimamizi kwa Mfumo mzuri kampuni lazime ifeli
 
Back
Top Bottom